Kwa nini majike tu?

jamani huyu dem anakula maisha tu!anavuta zaidi ya mshahara wangu kwa mwezi!lol
 
vivian unatuangusha akinamama wenzio!
mie mr wangu alipokuwa anafukuzia alikuwa akininunulia zawadi mara moja moja na mie nikimnunulia ......isitoshe nilikuwa naingiza pesa nyingi mzigoni kwangu kuliko yeye, so nilikuwa namuhurumia kishkaji pesa yake kuimalizia kwangu!

ya kwako wewe kuchukua laki sita kutoka kwa mwanamme naweza sema humpendi....maana kaa unampenda kweli ungemkumbusha ampelekee na mjomba wake na bibi kijijini
 
dada angu kuna kitu naona hujakisoma kwa vivian!
YUPO KIKAZI ZAIDI!
 
I think Vivian can see the bolded sentence. I wonder kama alishawahi kumnunulia bf wake hata big G.
 
dada angu kuna kitu naona hujakisoma kwa vivian!
YUPO KIKAZI ZAIDI!

bwahahahaha...............kumbe mwenzetu ni kzi! asingesema anmpenda sana basi ati! angesema kazi yake anaizimia and she luv the boss!lol
 
NGULI IS COMPLETELY SOLUBLE IN COLD WATER!ai miin anadissolve fasta!angekabidhi eitiemu nguli:D

Hahaha! Soloble in KILIMANJARO water. Shori kasepa au? Watu huwa wanakimbiaga uchokozi wao wenyewe. Hahaha!
 
jamani huyu dem anakula maisha tu!anavuta zaidi ya mshahara wangu kwa mwezi!lol

Acha hizo. mshahara laki 6!!!

hapa mjini utaishije?

house rent..... 350,000
food ..... 180,000
fuel 200,000
Michango... 100.000
dstv 101,000
mubia 190,000
nguo ?
wazee kijijini ?
 
Lol! Na imagine bosi wake angekuwa mpwa Nguli.

hehehehe!
si anauza VOUCHER?!:D

Do you mean kazi ya bank au?

bigijii?!hahahahahahah.atawahi?yupo kazini bana.
hapana chezea yeye bana!:D

Nyii wote mmetoka kwenye mada kabisa. angalia sasa mada imegeuka kuwa ya vivian na laki zake sita...jamani hayo ni makubaliano yao. mie ningependa hao wa laki sita na juu..mbona waume siku hizi mko mkono gamu sana! and btw be informed mimi mista wangu ansishi mbali and evry time i go to see him i take a small gift....nambebeb tshirt, shirt, perfume, boxer etc siku nyingi yeye huja yeye tu!!!!! sio lazima iwe laki sita eti!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom