Kwa nini majike tu?

why should I. He gave me out of his own will!! I didnt ask for it. may be its his way of showing love.

The Guy knows how to buy love, huh? Do you pay back to show your appreciation?
 
The Guy knows how to buy love, huh? Do you pay back to show your appreciation?

Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!
 
Mmmh topic hii inanikumbusha Mwezi june, 2009. Nilikutana na binti m1 kwenye lift PPF Tower, mrembo wa kutosha!! Ikabidi nimtupie sumu, nikamwomba tukae sanaa pub kwa ajiri ya mazungumzo kidogo!! Baada ya hapo binti akawa wangu lakini mambo hatoi. Kila nikiomba anasema kesho leo siko fresh!! Hapo kila saa saba kasoro ananipigia oohh swty mambo, unaenda wapi lunch!!

Baada ya wiki kama 2 hivi akanipiga mzinga wa TZS. 500,000/-, nikamwambia subiri ntakupa Jmosi, ilipofika jmosi binti akaenda hewani kuulizia pesa aliyoiomba. Nikamwambia aje hoteli fulani (jina kapuni) nimpatie. Saa sita kamili binti huyo, kaulamba sio mchezo. Nikamchukua nikamleta room, huku mezani nimeiweka hiyo laki tano kwenye meza inaonekana!! Story zikaanza huku nikinywa Serengeti na binti akibugia Wine, huku binti anacheka cheka tu na kujifanya anamponda mwanaume wake aliyekuwa naye kabla!!

Akanipa mchezo maridadi sana, tulipomaliza nikammuliza nikakudrop wapi?? Akaniambia niache Mwenge, nikachukua ile pesa na tukaanza kutoka. akauliza mbona simpi ile pesa? nikamwambia kiutani nitakupea kwenye gari sitaki mrembo ubebe mzigo wakati mi nipo. Tulipofika kwenye gari na kuanza kuondoka nikamwambia kwa siku ile nisingeweza kumpa ile pesa, alipojaribu kuuliza kwa nini nikamwambia nilikuwa na shida nyingine. Akakasirika sana na kuomba nimshushe, nikamshusha huku nikimuuliza 'ulikuwa unaniuzia penzi?'

heee hii kali jamani....
 
gonga thenksi basi!ukishamaliza kumchuna hamia kwa shemeji yangu x-pin!:D

Wife hata hajui ninapoiweka ATM card yangu. Linapokuja swala la love through money, am on the other way opposite.
 
Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!

naomba niintafie kidogo!pesa huwa zinatolewa lakini hatuintatein kumuingiza g/f kwenye peiroli kama wewe unavyofanyiwa
 
Wife hata hajui ninapoiweka ATM card yangu. Linapokuja swala la love through money, am on the other way opposite.
nimegonga senksi hapo!ninapata picha halisi ya unachokihubiri kwa uzoefu nilioupata kwa dada ako!:D
 
Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!

To be sincere nilikuwa nampa na Mpaka leo nampa kama ambavyo naye alivyokuwa ananipa na mpaka sasa ananipa. We share our income.
 
naomba niintafie kidogo!pesa huwa zinatolewa lakini hatuintatein kumuingiza g/f kwenye peiroli kama wewe unavyofanyiwa

Kuna thanks nimekupa kule bwashee! Nimeipenda hiyo bold zaidi.
 
hapa lazima atoe hadi ndogo!provided jamaa anataka!laki sita sio hela ndogo bana

Bwashee laki sita ukizimwaga pale CHAWOTE kila siku utakuwa na hangover kwa mwezi mzima. ni 20,000 per day ujue? Bia ngapi hizo? Hapo labda kina Liyumba ndio wanaweza kumwingiza binti kwenye mshahara huo. Hivi laki 6 PAYE ni shs ngapi? Where the hell is Nguli?
 
hao wanaume wa kumpa mrembo wake mpaka ATM yake ni wachache sana.....lol
 
To be sincere nilikuwa nampa na Mpaka leo nampa kama ambavyo naye alivyokuwa ananipa na mpaka sasa ananipa. We share our income.

Thats good! kwasasa ukisema mnapeana nakubali. ila kipindi unafukuzia kulikua hakuna kupeana, hapo unatudanganya wazi kaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom