Serikali na taasisi zake kwanini wanafanya Mambo kienyeji Sana? Mfano shule zao za o level unapomwanzisha mtoto mahitaji yanakuwa kwenye fomu.
Lakini akiwa ameanza mara mtoto atakwambia kuna masomo mawili yameongezeka ambayo kimsingi ktk dunia ya ushindani wa elimu sioni kama yanasaidia.
Hata ikiwa uratibu ungekuwa vizuri lakini kwanini mahitaji ambayo hayapo kwenye fomu yaje baadaye?
Halafu vimichango vya welcome form one kwangu naona havinaga msingi badala ya kuwa bize kufundisha mnahangaika na vitu vya kishamba tu si poa.