Kwa nini lakini?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Kwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?
 
Before Sex.. you help each other to get naked…
After Sex.. you only dress yourself…
The Moral of the story: in life… no one helps you once you've been f.u.c.k.e.d..!
 
Before Sex.. you help each other to get naked…
After Sex.. you only dress yourself…
The Moral of the story: in life… no one helps you once you've been f.u.c.k.e.d..!

what about once you have f.u.c.k.e.d someone else?
 
mkimaliza process inakuwa ndefu kabla ya kuvaa, kuna kuoga....... inabidi kila mtu ajitegemee
 
Kwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?

kama demu ni kizuri na ndio cku ya kwanza alafu kanajua kazi na kinajua kudeka hapo lazima kivalishwe mkuu ila ngoja cku zipite ukazoee cpati picha hapo
 
Muda wa kupotezeana tena haupo kila mtu anawaza home tu kwa hapo so kila mtu ajitegemea. Ha ha ha ha umenichekesha kweli mpendwa
 
kwan hujui ukiwa high hamu inakuwaje weweee kuwa mpole ukimaliza kila m2 anavaa fleesh kwan hujawah kupiga ki2 chaga ikavunjika utaacha uangalie kitanda au utaduu mpk bidae?
 
Before Sex.. you help each other to get naked…
After Sex.. you only dress yourself…
The Moral of the story: in life… no one helps you once you’ve been f.u.c.k.e.d..!
inauma ungetafuta lugha ya kulainisha manake hiyo hapo umetupa black and white na unajua always watu hatutaki ukweli.

nimekuwa nikimvalisha shati (and only shati ) na yeye amekuwa akinivalisha kishati au kitop na kunisaidia setting ya hereni and other vikorombwezo?BUT HIZO NGUO ZINGINE KWA KWELI SIJUI KWA NINI ila leo umenijulisha
 
mmmhh
siwajua tena raha zote zaanzia hapo
utakapo msaidia mwenzio kudondosha hiyoo braa
wakati ye anavuta huo mkanda....

baada ya kumaliza game
ni bafuni
mwenzie anabaki na kanga moja
we uko kwenye boxes

nguo mnavaa wakati wakwenda nje kwa t or dinner..

hata mkimaliza bado mtasaidiana.......

labda iwe ile ya guest (one night /day) stand...
i mean ile ya harakisha na ondoka nimemaliza haja yangu ...
 
Muda wa kupotezeana tena haupo kila mtu anawaza home tu kwa hapo so kila mtu ajitegemea. Ha ha ha ha umenichekesha kweli mpendwa

Hapa unamaanisha kwa wale wanaotoka nje ya ndoa zao au?BF/GF relationship?
 
siku nyingine uje na thread inayosema,
NANI WA KUMVALISHA CONDOM MWENZAKE KABLA YA KU - DO?
Inategemea condom gani. Kama ya kike wa kiume awajibike na kama ya kiume wa kike awajibike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom