Kwa nini JK anashindwa kuiendesha nchi kijeshi jeshi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini JK anashindwa kuiendesha nchi kijeshi jeshi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Mar 26, 2010.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK ni mwanajeshi...Ingependeza sana angeiendesha Tanzania kijeshi jeshi...kama Paul Kagame....Angekamata mafisadi wote akawaweka ndani....angewapereka mchamchaka waiowajibika wote..yani kungekuwa na fear fulani...na watu wangechapa kazi na kungekuwa na maendeleo makuwa sana...
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na wewe ni mwanajeshi?
   
 3. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Una maanisha kama Nyerere?
  Kweli nchi ingekua na maendeleo sana na uwajibikaji wa hari ya juu kuliko ilivyo sasa.
  Mimi pia nilijiuliza sana kuhusu hili la KIJESHI na nilishawahi kulichangia hapa,jibu ni kwamba haliwezekani kutokana na mambo mengi tu ya kimfumo wa siasa zetu na jamii pia.lakini ni wazo zuri sana kwenye mazingira haya ya jamii iliyo jiozea kama hii yetu kwa rushwa na mambo yote machafu.
   
Loading...