Kwanini Kikwete pamoja na kuwa Mwanajeshi anashindwa kuiendesha nchi kijeshi jeshi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Kikwete pamoja na kuwa Mwanajeshi anashindwa kuiendesha nchi kijeshi jeshi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Mar 26, 2010.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  JK ni mwanajeshi...Ingependeza sana angeiendesha Tanzania kijeshi jeshi...kama Paul Kagame.... Angekamata mafisadi wote akawaweka ndani... Angewapeleka mchamchaka waiowajibika wote.

  Yaani kungekuwa na fear fulani...na watu wangechapa kazi na kungekuwa na maendeleo makuwa sana...
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Na wewe ni mwanajeshi?
   
 3. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Una maanisha kama Nyerere?

  Kweli nchi ingekua na maendeleo sana na uwajibikaji wa hari ya juu kuliko ilivyo sasa.

  Mimi pia nilijiuliza sana kuhusu hili la KIJESHI na nilishawahi kulichangia hapa,jibu ni kwamba haliwezekani kutokana na mambo mengi tu ya kimfumo wa siasa zetu na jamii pia.

  Lakini ni wazo zuri sana kwenye mazingira haya ya jamii iliyo jiozea kama hii yetu kwa rushwa na mambo yote machafu.
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mlitaka wenyewe Leo mmeanza lia tena.

  Tumpe nafasi JPM
   
 5. kadagala1

  kadagala1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 4,594
  Likes Received: 4,166
  Trophy Points: 280
  Kijeshijeshi ndio vipi!!
   
 6. kilambalambila

  kilambalambila JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 6,956
  Likes Received: 2,947
  Trophy Points: 280
  Sasa yupo wa kijeshijeshi mnalimia meno
   
 7. popoma

  popoma JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2017
  Joined: May 5, 2017
  Messages: 2,350
  Likes Received: 3,148
  Trophy Points: 280
  Akikamata mafisadi basi CCM yote itakuwa Lupango
   
 8. Tajirimsomi

  Tajirimsomi JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2017
  Joined: Jan 12, 2017
  Messages: 4,283
  Likes Received: 4,257
  Trophy Points: 280
  Ayaa wanajeshi twende kasi
   
 9. Madihani

  Madihani JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2017
  Joined: Apr 30, 2015
  Messages: 4,161
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  Kaburi limefukuliwa
   
 10. radika

  radika JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2017
  Joined: Jul 15, 2014
  Messages: 10,655
  Likes Received: 12,537
  Trophy Points: 280
  Kwani anaiendesha nchi kijeshi?
   
 11. wax

  wax JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2017
  Joined: Jun 14, 2015
  Messages: 2,444
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Wera Wera Wera Wera Wera...................... Uuuuwwiii uuuuwwiii uuuuwwiii Uuuuuuuwwiiii uuuuwwiii ooooyooooo oyyykooooookko ooyyyooooohhhhh
   
 12. Tz boy 4tino

  Tz boy 4tino JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2017
  Joined: Sep 14, 2014
  Messages: 296
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Mtoa post, upo vizuri
   
 13. nyanimzungu

  nyanimzungu JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2017
  Joined: Mar 4, 2017
  Messages: 873
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 180
  Huyo aliingia jeshini bahati mbaya alitakiwa awe model.shikamooo mr mapowder hb wa msoga
   
 14. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2017
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,671
  Likes Received: 2,546
  Trophy Points: 280
  Inafanana kidogoo
   
 15. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 15,075
  Likes Received: 36,931
  Trophy Points: 280
  Uzuri kwa sasa muda wake umepita.

  Na nchi imekabidhiwa kwa washamba na malimbukeni
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2017
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,597
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  We ndo mwenyewe nini? Maana unapenda watu wawe na fear, unapenda mambo ya kijeshi jeshi huku ukimrefer Paul Kagame.

  Kwahiyo uoga ndo utafanya watu wachape kazi?

  Ama haujui nidhamu, nidhamu ya woga, na woga ni vitu vitatu tofauti kabisa?
   
 17. kunguni wa ulaya

  kunguni wa ulaya JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2017
  Joined: Mar 16, 2014
  Messages: 1,890
  Likes Received: 1,361
  Trophy Points: 280
  Huyu wetu ni dereva wa lori lilopoteza uelekeo.
   
 18. A

  August JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2017
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Wanaotekeleza maendeleo kwa vitendo , wale wa mjini wana shabikia barabara mbovu mbovu, ujenzi holele ili mradi kenda pub, na kula chips kuku/mayai nk anajiona yuko hong kong , sasa mshamba sijui ni yupi.
   
 19. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 15,075
  Likes Received: 36,931
  Trophy Points: 280
  Yupo mshamba mmoja tu anasema alisukumiziwa maana alikuwa anajaribu.

  Free our Bombardier
   
 20. F

  FRESHMAN JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,436
  Likes Received: 3,949
  Trophy Points: 280
  model alieua mtandao wa vigogo.  model ambae kina rostam, lowassa, kingunge, sumaye na vigogo kibao wamemshindwa ujanja.

  JK ni mwanajeshi wa kushinda vita kwa akili nyingi.. nguvu kidogo..

  USA kuna mtu anaitwa mad dog.. huyo hajawai shika bunduki vitani ila waarabu dunia nzima wanamjua shughuli yake... yeye anaongoza vita akiwa ofisini kwake tu pentagon

   
Loading...