Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,790 Reaction score 105,538 Mar 19, 2026 #1 Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,931 Reaction score 101,457 Mar 19, 2026 #2 Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Tangu lini?
Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Tangu lini?
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,237 Reaction score 121,211 Mar 19, 2026 #3 Kitendo cha kuileta picha yake hapa tayari umesha lijibu swali lako mwenyewe
The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,069 Reaction score 2,512 Mar 19, 2026 #4 Anatembelea upepo
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,549 Reaction score 49,425 Mar 19, 2026 #5 Kwasababu Watanganyika wengi ni wajinga.
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 436 Reaction score 934 Mar 19, 2026 #6 Anahusika na Nini mpaka useme ni habari ya mjini Au unaongelea wale matapeli wanaojifanya wanatoa mikopo huku wakitumia jina lake
Anahusika na Nini mpaka useme ni habari ya mjini Au unaongelea wale matapeli wanaojifanya wanatoa mikopo huku wakitumia jina lake
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,402 Reaction score 14,957 Mar 19, 2026 #7 Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Wengi wanamshobokea sababu ya Status ya the late JPM
Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Wengi wanamshobokea sababu ya Status ya the late JPM
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,885 Reaction score 136,801 Mar 19, 2026 #8 Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Huyu mwenye media ndy habari anazopenda Ova
Yoda said: Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini! View attachment 3560058 Click to expand... Huyu mwenye media ndy habari anazopenda Ova