Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kila siku tunaimbiwa kwa kuna Mihimili 3 inayojitegemea, sasa swali langu kwa nini Jaji akitaka kujiuzulu haombi kwa Jaji Mkuu badala yake anaomba kwa Raisi JMTZ?
Maoni yangu, bado hamjauelewa vizuri mfumo wa TZ, mnakwenda Shuleni kukaririshwa tu, halafu kuna watu wanajidanganya kwamba watamuondoa Raisi wa JMTZ kwa kutumia Mihimili mingine ,,inayojitegemea", ...