Kwa nini inakuwa ni vigumu kwa msichana kuamini wewe ni rafiki yake tu wakawaida!

Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba mwanaume singo na mwanamke singo wana changamoto nyingi sana iwapo wamechagua kuwa marafiki wa kawaida kulinganisha na pale mmoja ama wote wanapokuwa na mwenza...
 
Na kuepusha hayo yote,na kama intension yenu siyo kuwa katika mahusiano.mkiona dalili flani zinaanza kujitokeza baina yenu.Achen urafiki mlio nao.
 

mbona mengi lol(japo mazuri)
 
Ni vizuri kujihami mapema,kuliko kumchezea kisha unamwacha.PLAYERS WAKO HIVYO.EPUKENI MAPEMA WADADA.HATA URAFIKI WAKAWAIDA KATAA.TUPA KULE.

he! unawakosesha wenzio Bahati, kuna sred apa mtu analalamika hatongozwi.unaweza kufikiria hatari ya ushauri huu wa kuwa'tupa kule'. sema wengine hatutupiki
 
he! unawakosesha wenzio Bahati, kuna sred apa mtu analalamika hatongozwi.unaweza kufikiria hatari ya ushauri huu wa kuwa'tupa kule'. sema wengine hatutupiki

ooh.kweli?.hakuna msichana asiyetongozwa.sikubalian na wewe.
 

Inawezekana ulimtengenezea mazingira yaliyomfanya ahisi unahisia za mapenzi. Jifunze kumtreat kama rafiki.
 

The vice versais true....wanaume ndo wako hivo na si wanawake
 
Hi! ee bwana upo juu! lakini kumbuka ni mada tu niliyopewa kuifikisha kwa wanajamii haikuamanisha imenitokea maana da msisitizo huo du!!!!!!!
 
binti yeyote timamu.. hujisikia raha kutongozwa... anajiskia naye anakubalika.. sasa unapojifanya wataka urafiki wa kaka na dada .. wewe kama ni mwanamume unaonekana ***** au domo zege.. hata kama huna mpango nae .. wewe tongoza tu... They like it.. I tell you.
 

Very fun.wadada kuwen makini,mshapata jibu kwa data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…