Kwa nini inakuwa ni vigumu kwa msichana kuamini wewe ni rafiki yake tu wakawaida!

Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba mwanaume singo na mwanamke singo wana changamoto nyingi sana iwapo wamechagua kuwa marafiki wa kawaida kulinganisha na pale mmoja ama wote wanapokuwa na mwenza...
 
Na kuepusha hayo yote,na kama intension yenu siyo kuwa katika mahusiano.mkiona dalili flani zinaanza kujitokeza baina yenu.Achen urafiki mlio nao.
 
Acha kutudanganya kaka,kwanza ushasema ni mzuri sana,inamaana ushamtamani,na kitendo cha kusema kwamba eti unapenda kuwa nae karibu,kimawazo and ideas,thats absolultely itawapelekea kwenye mapenzi tu.kataa usikatae,na kumbuka,mapenzi yanaanzia kwenye urafiki.kubaliana na yote.au kateni urafiki mlionao,kuepuka mengi.lakini unavyosema,eti mzuri,unapenda idea zake.kijana na wewe ushapenda hapo.kila mtu anastyle yake ya kupenda.Msiforce urafiki,kama hamuwezi kuishi kama dada na kaka.kwa sababu kaka,hawezi sema nampenda sana dada,sijui mzuri.Wekeaneni heshima kati yenu.Una rafiki wa kike,lakini kila muda mnawasiliana,kila dakika mnakutana,kisa ideas.kaka wekeni mpaka.na wewe muone kama dada yako tu.Acha kusema mzuri,unapenda idea zake..huko ushapenda kaka au unamtani ooh.ni hayo tu.

mbona mengi lol(japo mazuri)
 
Ni vizuri kujihami mapema,kuliko kumchezea kisha unamwacha.PLAYERS WAKO HIVYO.EPUKENI MAPEMA WADADA.HATA URAFIKI WAKAWAIDA KATAA.TUPA KULE.

he! unawakosesha wenzio Bahati, kuna sred apa mtu analalamika hatongozwi.unaweza kufikiria hatari ya ushauri huu wa kuwa'tupa kule'. sema wengine hatutupiki
 
he! unawakosesha wenzio Bahati, kuna sred apa mtu analalamika hatongozwi.unaweza kufikiria hatari ya ushauri huu wa kuwa'tupa kule'. sema wengine hatutupiki

ooh.kweli?.hakuna msichana asiyetongozwa.sikubalian na wewe.
 
Hi, wana jamii,

Ndo kwaaaaaanza natokea kwa mara ya kwanza na mada yangu hii, ivi ebu vuta hisia siku ambayo unahisi kukutana na msichana au mvulana katika mazingira flani ya sherehe au mahali pengine na uhusiano wenu kuwa mkubwa kiasi cha kupeana promisi za kukutana mahali baada ya shughuli za kila siku na kubadilishana mawazo.

Ni vipi basi tabia tofauti huanza kutokea pale msichana anapogundua hauhisi mapenzi nae ila unampenda kuwa na urafiki nae na badala yake anakuchukia kiasi kwamba hata salamu inakuwa shida kwa muda mfupi?

Inawezekana ulimtengenezea mazingira yaliyomfanya ahisi unahisia za mapenzi. Jifunze kumtreat kama rafiki.
 
Hi, wana jamii,

Ndo kwaaaaaanza natokea kwa mara ya kwanza na mada yangu hii, ivi ebu vuta hisia siku ambayo unahisi kukutana na msichana au mvulana katika mazingira flani ya sherehe au mahali pengine na uhusiano wenu kuwa mkubwa kiasi cha kupeana promisi za kukutana mahali baada ya shughuli za kila siku na kubadilishana mawazo.

Ni vipi basi tabia tofauti huanza kutokea pale msichana anapogundua hauhisi mapenzi nae ila unampenda kuwa na urafiki nae na badala yake anakuchukia kiasi kwamba hata salamu inakuwa shida kwa muda mfupi?

The vice versais true....wanaume ndo wako hivo na si wanawake
 
Hi! ee bwana upo juu! lakini kumbuka ni mada tu niliyopewa kuifikisha kwa wanajamii haikuamanisha imenitokea maana da msisitizo huo du!!!!!!!
 
binti yeyote timamu.. hujisikia raha kutongozwa... anajiskia naye anakubalika.. sasa unapojifanya wataka urafiki wa kaka na dada .. wewe kama ni mwanamume unaonekana ***** au domo zege.. hata kama huna mpango nae .. wewe tongoza tu... They like it.. I tell you.
 
Very fun.wadada kuwen makini,mshapata jibu kwa data.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom