J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Wakuu ,poleni kwa utafutaji,
Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo.
Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au hizi sehemu za kuuzia chakula kazini nikimaliza kula nikilipa ela lazima chenji izidi na siyo mara moja mara nyingi sana hii hali inanitokea,
Au pia nikipanda daladala mara konda atanipita tu bila kuniomba ela.pia ni mara nyingi sana.
Ila kwenye hizi sehemu za kula huwa nawarudishia ila kwa konda niseme tu ukweli nakaa kimya mara sisemi .
Nauliza swali nafanya makosa kurudisha ile ela kwa sehemu hizi za kula ? Au kwa konda pia niendelee kukaa kimya?