Kwa nini iko hivi.

Kwa nini iko hivi.

JembePoli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,324
Reaction score
1,000
ImageUploadedByJamiiForums1452523262.197311.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1452523280.146618.jpg

Maswali yangu huwa yanakosa majibu.
1 hakuna watu wanaoweza kutumia hiyo barabara/kuishi huko?
2 ni jeuri tu ya kuanza kuishi upya mijini
 
Mimi nahisi hayo ni maeneo yaliyo special kwaajili ya movie. Najaribu kuringanisha mandhari ya movie kama walking dead,Revolution, inaonekana ni maeneo yaliyokuwa yanakaliwa na watu zaman lakn kwasasa hayana watu. Ni sina hakika ila ni fikra tu
 
Nahisi hayo mazingira hayapo sehemu yoyote ile duniani
Yapo kwenye movie tu
 
Back
Top Bottom