Kwa nini hauolewi?

Wala usingepata tabu ya kuuliza ungekua umeshaelewa kama kweli we ni daktari.
Tunaishi kwenye jamii na matatizo ni ya jamii;wanaofanya utafiti sio kwamba hawana majibu,majibu wanayo ila wanaenda field ili kujiridhisha/ku-test majibu waliyonayo kama ni sahihi;nadhani umenielewa.
 
Maandiko yanasema,kila mmoja atawaacha wazazi wake na ataongozana na mwenzie katika kujenga familia
Mliagana kwamba kila mtu anafuata hayo maandiko?

Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake anavyotaka ilimradi asivunje sheria.

Hata hayo ni maandiko nayo.

Unapowashadadia watu kuhusu kuolewa, unawanyanyapaa na kuwaingilia katika haki zao za kikatiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…