Kwa nini Chadema ni Mahiri Kila Walipo?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,932
71,556
Tuliona ndani ya Bunge, wabunge watokanao na Chadema ndio wanaoonyesha uwezo wa kutoa hoja maridhawa na hata Makamu wa Rais alikiri hilo na kuwaambia wabunge ccm wajifunze nao kutoa hoja makini kama wapinzani.
Ukija kwenye mhimili wa uendeshaji serikali, wamepewa serikali za mitaa Dar tunaona mabadiliko na watu wanakubali. Ukienda Arusha watu wanasema wamechekewa sana kuwapa nafasi hiyo kwa jinsi walivyo makini.
Sasa na leo katika mhimili mwingine wa sheria tumeona mawakili wa serikali walivyokuwa kama wanafundishwa sheria na mawakili wa Chadema kuhusu dhamana ya Lissu.
Ndio maana tunajiuliza huko Chadema inakuwaje kuna watu mahiri ambao wana fit katika mihimili yote? Jee sio wakati muafaka kwa ccm badala ya kuendekeza ugomvi na wivu wakajifunza toka huko ili tujenge nchi?
 
Nchi hii wanaojitambua wote wako upinzani... anayejitambua yyte hawezi kuwa ndani ya ccm.. angalia hata wanaorejea ccm ni watu flan hv..
 
Tuliona ndani ya Bunge, wabunge watokanao na Chadema ndio wanaoonyesha uwezo wa kutoa hoja maridhawa na hata Makamu wa Rais alikiri hilo na kuwaambia wabunge ccm wajifunze nao kutoa hoja makini kama wapinzani.
Ukija kwenye mhimili wa uendeshaji serikali, wamepewa serikali za mitaa Dar tunaona mabadiliko na watu wanakubali. Ukienda Arusha watu wanasema wamechekewa sana kuwapa nafasi hiyo kwa jinsi walivyo makini.
Sasa na leo katika mhimili mwingine wa sheria tumeona mawakili wa serikali walivyokuwa kama wanafundishwa sheria na mawakili wa Chadema kuhusu dhamana ya Lissu.
Ndio maana tunajiuliza huko Chadema inakuwaje kuna watu mahiri ambao wana fit katika mihimili yote? Jee sio wakati muafaka kwa ccm badala ya kuendekeza ugomvi na wivu wakajifunza toka huko ili tujenge nchi?
Joto sana lazima wavue nguo
 
ni kweli kabisa mkuu....ila kwa kuwa CCM ni sikio la kufa sidhani kama wanaweza kukopi umahiri huu kutoka CHADEMA....badala yake wataendelea kukaa na wivu wao wa kike mpaka Yesu atakaporudi.
 
Swisswism imelaaniwa na Mungu kwa kunyimwa akili na maarifa dhidi ya vilio na dhambi za Watz. kwa zaidi ya 55 ya uhuru wanashindwa kupata hata mlo mmoja na kukosa huduma za msingi tu.
Endapo swisswism itaendelea kutawala ktk nchi hii mjue yale yanayo onekana kama ni ndugu kwa Watz. hayatakwisha wala kupungua kwa maana ya Ujinga uliopitiliza,Kunuka Umasikini uliokithiri,Maradhi,Ufisadi n.k. kutokana na mfumo uliolaaniwa.
 
Pale mahakaman,ilibidi hakimu awe anacheka pale lissu na kibatala walipokuwa wanajenga hoja dhidi ya mawakili wa serikali.Ilibidi mawakili wa serikali wamkatae kibatala kwa hoja dhaifu kabisa.
 
Back
Top Bottom