Kwa nini Chadema ni Mahiri Kila Walipo?

Kwa nini Chadema ni Mahiri Kila Walipo?

Jana nimeamini kuwa Lisu na Kibatala ni watu hatari sana kwenye fani hii ya uwakili. Ilikuwa kama sinema isiyochosha kuitazama.
 
Tatizo la ccm njaa zao zimehamia kuchwani walio wengi
 
Jana nimeamini kuwa Lisu na Kibatala ni watu hatari sana kwenye fani hii ya uwakili. Ilikuwa kama sinema isiyochosha kuitazama.
Kazi yeyote ukiifanya kwa dhamira ya moyo na kutumia akili halisi sio ya kuongozwa na unafiki lazima iwe nzuri.
Wengi sasa hawapo kwenye ukweli Bali kumfurahisha mtu ndio maana wanaishia kuonekana makanjanja
 
Tatizo la ccm njaa zao zimehamia kuchwani walio wengi
Sasa kama ile barua wanayo sema imeandikwa na kamishna wa tume ambaye ni Jaji, unajiuliza ni vipi?
 
Mahiri kwa wizi labda.


Walivyotuibia vibanda vyetu Arusha hatutakaa tukasahau machadema
 
Tuliona ndani ya Bunge, wabunge watokanao na Chadema ndio wanaoonyesha uwezo wa kutoa hoja maridhawa na hata Makamu wa Rais alikiri hilo na kuwaambia wabunge ccm wajifunze nao kutoa hoja makini kama wapinzani.
Ukija kwenye mhimili wa uendeshaji serikali, wamepewa serikali za mitaa Dar tunaona mabadiliko na watu wanakubali. Ukienda Arusha watu wanasema wamechekewa sana kuwapa nafasi hiyo kwa jinsi walivyo makini.
Sasa na leo katika mhimili mwingine wa sheria tumeona mawakili wa serikali walivyokuwa kama wanafundishwa sheria na mawakili wa Chadema kuhusu dhamana ya Lissu.
Ndio maana tunajiuliza huko Chadema inakuwaje kuna watu mahiri ambao wana fit katika mihimili yote? Jee sio wakati muafaka kwa ccm badala ya kuendekeza ugomvi na wivu wakajifunza toka huko ili tujenge nchi?
Mungu ibariki chadema .
 
Back
Top Bottom