Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,197
- 7,533
Kila mahali chadema wanalaumiwa hivyo wanapaswa kuona wanapokosea na kujirwkwbisha
Nadhani hizi ndo sababuWakuu nimefuatilia mahali mbali mbali na sasa nimethibitisha.Nimethibitisha kwamba sasa hivi kila mahali kwenye mjadala wa siasa, CHADEMA ni lazma itajwe sana, na kwa kadiri inavyotajwa ndivyo wachangiaji wanaongezeka.
Kwa mfano;
1. Ukija hapa JF; Kwa kila thread kumi zitakazo anzishwa kwenye jukwaa la siasa (iwe ni za kusifu au kuponda) utakuta nane (08) zinaihusu CHADEMA.
2. Hapa JF; Katika jukwaa la siasa, nyuzi zinazochangiwa na watu wengi ni zile zinazoitaja CHADEMA (Fuatilieni mtaniambia)
3. Bungeni karibu kila mzungumzaji akiongea bila kujali chama chake, atatafuta ka chance ahakikishe anaitaja CHADEMA, na akishafanya hivyo basi utakuta bunge zima linamtazama kwa makini kweli.
4.Mitaani ukipita ukikuta kuna kamjadala ka kisiasa wewe vizia tu usikilize, utasikia wahusika wakuu wanao jadiliwa ni chadema.
5.Ukienda vyuoni; kwenye mijadala ya vijana, kama ukiwakuta wanajadili siasa, lazma wahusika wakuu (wanaojadiliwa)utakuta ni CHADEMA
Na mifano mingine mingi.
Sasa mimi ninachojiuliza ni kama; hii inatokana na mapenzi ya watanzania kwa CHADEMA? AU ni kutokana na watu kuichukia CHADEMA? au ni watu kuiogopa CHADEMA? au CHADEMA Ina nini hata kila mtu akawa anaiwaza (iwe kwa wema au kwa ubaya)?
Chadema ni mpango wa Mungu jamani,wacheni kiendelee
Hii ni moja ya zile thread nyingi zinazoanzishwa zikiihusu CHADEMA, tarajia wachangiaji wengi!
Hii ni moja ya zile thread nyingi zinazoanzishwa zikiihusu CHADEMA, tarajia wachangiaji wengi!
Mkuu hujakosea, hata wanachama wa magamba wamegeuka kuwa waenezi wa cdm, hata humu jf akina hammy-d na wenzie kila thread wanayoanzisha ni juu ya cdm raha kweli kweli.Nadhani hizi ndo sababu
1. Hakuna chama upinzani kilichowahi kuwa na wabunge wengi kama CDM
2. Uchache wao unawahangaisha wabunge zaidi ya 350 wa CCM
3. Wametaja madudu kadhaa ya serikali na inaoneka ni ya kweli eg Mafisadi, Meremeta, EPA etc
4. CCM wanaiogopa CDM utadhani ndo chama pekee cha upinzani
5. CDM imekuwa ikishinda karibu kila kesi iwahusuyo mahakamani