Kama hofu ni kuvuliwa nguo ina maana watatawala milele!Mfalme wa dhambi anaogopa kuondoka madarakani maana atavuliwea nguo; lazima ajifiche na ajiimarishe ili asivuliwe nguo; CCM hawawezi kumuachia Dr Slaa nchi wanajua atakalofanya litawavua nguo maana walishajivua kwa matendo ila wanajua kuyaficha ndio njia sahihi; hofu inatokana na hilo la kuvuliwa nguo
Umesahau kwamba kafu ni sisi m 'b'?Umetukimbia CUF lini na kwa nini?
Kama haina hofu kwa nini kwa mara ya kwanza imeruhusu magazeti ya umma kufanya kampeni chafu tena waziwazi refer Habari Leo, tofautisha gazeti kuwa bias na kuandika kashifa za mgombea mwingine.
Nimesema kuna tofauti ya magazeti kuwa bias na kuandika kashifa, mfano gazeti kuandika mikutano ya chama kimoja hiyo si kashifa ni kuwa bias lakini gazeti tena la serikali kuandika maisha ya ndani ya mgombea wa upande mmoja hiyo ndiyo kashifa.Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa mtu ni ukweli si kashfa au siyo..nk..kwakuwa wewe ni mpenzi wa Chadema unaumia sisi tunafurahi kwasababu jamaa si muadilifu na hafai kuwa rais
Wananchi wanahitaji kumfahamu mgombea wa urais ndio maana magazeti ya serikali yameandika huo ukweli!
Si humu tu wanatukela hata huku mitaani as if wao ndio watamchagua rais wa nchi hii peke yao au as if nchi hii ni personal property yao!Asante MF kwa kunikumbusha ndio maana pale mwisho nikaachia wanaJF nao waziseme hofu, UWT wamejaa humu kweli hii nayo inadhihirisha hofu.
Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa mtu ni ukweli si kashfa au siyo..nk..kwakuwa wewe ni mpenzi wa Chadema unaumia sisi tunafurahi kwasababu jamaa si muadilifu na hafai kuwa rais
Wananchi wanahitaji kumfahamu mgombea wa urais ndio maana magazeti ya serikali yameandika huo ukweli!
Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa mtu ni ukweli si kashfa au siyo..nk..kwakuwa wewe ni mpenzi wa Chadema unaumia sisi tunafurahi kwasababu jamaa si muadilifu na hafai kuwa rais
Wananchi wanahitaji kumfahamu mgombea wa urais ndio maana magazeti ya serikali yameandika huo ukweli!
JK ndiyo msafi?Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa mtu ni ukweli si kashfa au siyo..nk..kwakuwa wewe ni mpenzi wa Chadema unaumia sisi tunafurahi kwasababu jamaa si muadilifu na hafai kuwa rais
Wananchi wanahitaji kumfahamu mgombea wa urais ndio maana magazeti ya serikali yameandika huo ukweli!
Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa mtu ni ukweli si kashfa au siyo..nk..kwakuwa wewe ni mpenzi wa Chadema unaumia sisi tunafurahi kwasababu jamaa si muadilifu na hafai kuwa rais
Wananchi wanahitaji kumfahamu mgombea wa urais ndio maana magazeti ya serikali yameandika huo ukweli![/QUOTE]
Mimi ni mwananchi si zaidi yako labda. Umeamua kuhamisha mjadala wa sera za kutuletea maendeleo na kutupeleka kuzungumzia events na watu (people) hadi kuwasemea "Wananchi" ambao unawa"exploit" kwa kuwasababishia umasikini na ujinga. Nina uhakika dhamira yako sio safi kama sio kwa bahati mbaya hujaishi na hao wananchi wanaokugharimia kuwasaliti. Pole sidanganyiki kuzungumzia maisha ya mtu. Nashawishika kuzungumzia kazi nzuri njema zenye tija na ushahidi za Dr. Slaa kwa nchi yetu badala ya CCM ambao mgombea wao wa uraisi Jakaya Mrisho Kikwete hajui kwa nini Watanzania ni masikini. Nadhani hata wewe si ajabu hujui kwa nini Watanzania ni Masikini kama raisi wako ndio maana unatetea upuuzi.