Kwa nini CCM ikihofie CHADEMA?

Points of correction:
1;CCM haikuruhusu mfumo wa vyama vingi kwa matakwa yake.mfumo huu ni matokeo ya presha za wenye Dunia kama World bank na IMF.
2;Anguko la USSR pialilikuwa sababu tosha ya CCM kukubali kwa shingo upande mfumo huu.;

Tumeshazoea walalamikaji ambao jambo likiwa zuri basi wanadhani limetokea kwa bahati mbaya, lakini kikitokea kitu kibaya basi wako mstari wa mbele kulaumu.
Wewe ni mmoja wao, unadhani mfumo wa vyama vingi umetokea bila CCM kupenda, lakini umasikini wako umesababishwa na CCM.
Watu kama nyinyi kwenye jamii hamuepukiki.
 

Hatupo hapa kuwasifia CCM tutawakimbiza mwanzo mwisho mpake mkae,Na sisi tunataka kuongoza Nchi vile vile kama nyinyi.
 
Viongozi wa vyama vya upinzani wanawalaghai wananchi kuwa wanaweza kuboresha maisha ya wananchi haraka haraka. Lakini wao kwa robo karne wameshindwa hata kuitoa CCM madarakani. Je, ipi ni kazi ngumu, kuboresha maisha ya watu au kuitoa CCM madarakani?

kweli nimeamini kuwa mshabiki wa ccm lazima ujitoe ufahamu, hv mechi inachezwa uwanjani refa ni wa ccm halafu ushinde uende cdm? 2010 cdm walishinda viti vingi vya ubunge na urais walishinda mbona hawakumtangaza cdm kuwa imeshinda?
 
Sio kosa lako...kitendo chako cha kusoma magazeti ya udaku kila siku ndiko kunakokufanya usijue kwamba mfumo wa vyama vingi hakuja kwa hisani ya CCM.
 
Habari za jikoni zinasema kuanzia sasa cdm itapeleka elimu ya uraia nyumba hadi nyumba , 2015 ccm lazima ing'oke .
 
Kuuwawa kwa vibaka ni wananchi kukosa imani na vyombo vya dola, kuanzishwa kwa vikundi vya kujilinda ni ulegevu wa serikali na utumia upropaganda kwenye mambo ya msingi. wakati tukiongelea ushindi wa CCM tuongelee pia wizi, rushwa , vitisho na mauaji, ua katika siasa hakuna ubaya ili mradi ushinde kwasabau serikali haina dini?...kama kungekuwa na uchaguzi halali CCm isingekuwa madarakani...na kama unaakili timamu na tunatafuta kuikomboa tanzania yetu na kujitoa katika uchafu wa udini na vikundi basi CCM tuione ni adui mkubw kabisa wa kutafuta ukweli
 
Kwa wizi wenu wa kura hiyo 60% inatoka wapi?...Juzi Shinyanga mkaiba bila aibu eti mbunge wenu akachukua kiti kwa tofauti ya kura moja.Shame on CCM!
 

chadema ni chma cha kigaidi kwa hiyo lazima kihofiwe kwa sababu kinaua watu ambao hawana hatia.
 

mbona unachekesha sasa nyie na chama chenu cha kihaini mnaanzisha kikundi cha waasi halafu mnasingizia kuwa umeshindwa kulindwa lakini majibu mtayapata tu watoto wa kiume wapo kwa ajiri ya kuwa kabili.
 
Viongozi wa vyama vya upinzani wanawalaghai wananchi kuwa wanaweza kuboresha maisha ya wananchi haraka haraka. Lakini wao kwa robo karne wameshindwa hata kuitoa CCM madarakani. Je, ipi ni kazi ngumu, kuboresha maisha ya watu au kuitoa CCM madarakani?

Kuitoa ccm madarakani kwani imeshika sana fikra za watu kwa kuwanyima elimu.
Mfano ni Kenya kwa kuwa wana Elimu ilukuwa rahisi kuitoa KANU madarakani.
Kuwaletea watu maisha mazuri ni kuwajenga ktk elimu bora ili waweze kubadilisha RASILIMALI ZAO KUWA MAENDELEO HALISI WALA SIO UCHAWI AU UGUMU KAMA CCM ILIVYOKUAMINISHA WEWE.
 
Achane kushindana kwa kuiba na kutumia jeshi kupiga na kuuwa raia ambao hawana hatia tuone kama CCM mtapata viti 20%. Pia undeni tume huru ya uchaguzi na mtoe wazee kama Tendwa kwenye usajili wa vyama muone kama mtatoka. Mkifanya hivyo halafu mkashinda nahama nchi ndugu yangu.
 
chadema ni chma cha kigaidi kwa hiyo lazima kihofiwe kwa sababu kinaua watu ambao hawana hatia.
Kweli wewe ni chinemba la ukweli. Hivi magaidi ni kina nani? pole ndugu yangu. Hivi mbona hata haumuogopi wakati wakuandika vitu vya aibu kama hivi? Hata mtoto wa Makinda na Ndugai wanajua gaidi kwenye hii nchi na CCM na Green guards
 
Ccm bwana wajinga kweli. Eti wameingiza kodi ya cm card halafu wanarudi nyuma wanadai hawajaikubali. Loh. Mijinga sana hii mizee
 
mbona unachekesha sasa nyie na chama chenu cha kihaini mnaanzisha kikundi cha waasi halafu mnasingizia kuwa umeshindwa kulindwa lakini majibu mtayapata tu watoto wa kiume wapo kwa ajiri ya kuwa kabili.
wewe kaziyako ni kujibizana na ubishi, lakini ukinisoma vizuri ucngejibu hii pumba, ulegevu wa serikali ndiyo unaleta utaarab katika mambo ya msingi, nchi nyingine za watu ucngesikia upuuuzi kama huu wa watu kutupiana mpira, Ref: kwa ulimboka na Mwangosi, mnachojua ni kufungia magazeti kwa jibu la uongo rti wameandika kuhusu jeshi, kwa mtu mwenye akili hii ni aibu kubwa kwa kiongozi wa serikali kutokujua nini anongea, lakini usiwe na shaka 2015 itawapa majibu, Arusha itakuwa cha mtoto
 


haikuruhusu ,bali ililazimika kukubali kutokana na kubadilika kwa mfumo wa dunia nzima.
 
viongozi wa vyama vya upinzani wanawalaghai wananchi kuwa wanaweza kuboresha maisha ya wananchi haraka haraka. Lakini wao kwa robo karne wameshindwa hata kuitoa ccm madarakani. Je, ipi ni kazi ngumu, kuboresha maisha ya watu au kuitoa ccm madarakani?

una maana gani kusema kuwa wameshindwa kutoa ccm madarakani kwa robo karne? Kwani hujui kuwa ccm inaiba kura na kubadilisha matokeo?! Na mtu wa kwanza kuisaidia ccm isitoke madarakani alikuwa hayati jkn? Si ndiye aliyesema matokeo ya zanzibar yabadilishwe haraka sana baada ya maalim seif kumshinda salmin! Na kuanzia hapo ccm ikajua mchezo huo ndio utakaofanywa hata bara?! Na kweli ndivyo ilivyofanywa? Hata kama mrema asingeshinda, kura zake nyingi ziliteketezwa, mkapa pengine angepita kwa kiwango kidogo sana au asingefikisha kura vilevile.
Na matokeo yake mchezo wa kuiba na kubadili kura umekua order of a day kwa ccm kwa kila uchaguzi? Sasa ndio vyama vya upinzani vimeshtuka na vinakula sambamba na hiyo mbinu, ndio maana unaona sehemu nyingine ccm inashindwa kabisa wakishabanwa.
Kwa hiyo ukiniambia eti kwa kuiba kura na kubadilisha ndio inamaanisha ccm bado inapendwa nashangaa sana, mnadanganya nani zaidi ya kujidanganya wenyewe?!
 
Mkuu ZeMarcopolo Tanzania hakuna kitu chochote

Wafadhili wanakusaidieni kisha munawapa ardhi yenu kuna Madini wanaiba Dhahabu,Almasi, na Madini yote wanakuacheni na njaa yenu

nyie mumelala usingizi amkeni Wa-Tanzania. Viongozi wenu wanaweka mikataba ya miaka 100 kwa wafanya biashara toka nje ya nchi

kwanini iwe miaka mingi mikataba ya kuuza nchi hiyo?Wizi mtupu huo nchi ina mafuta,Gesi, na Madini lakini bado ni Masikini na omba

omba mpaka lini tutategemea misaada toka nje?wakati tuna utajiri tunaukalia wenyewe ? tujiulize kwanini tunakuwa Masikini?
 

da! mzizimkavu leo nimekukubali!
 
Last edited by a moderator:
da! mzizimkavu leo nimekukubali!
Mkuu Highlander mimi huwa sipendi kuzungumza mambo ya Siasa lakini nikiamuwa kuzungumza ninazungumza ukweli na huo ukweli kwa hapo kwetu Tanzania hautakiwi hata kidogo ukisema ukweli

wanakulimboka. Sasa kweli nchi yako na viongozi wa nchi yako hawataki useme ukweli utanyamaza mpaka lini?kila siku Umeme wa

mgao,Majisafi hakuna Mijini mpaka vijijini viongozi wetu wanatembea na Magari ya kifahari walala hoi ndio wanaoteseka inauma

sana.Viongozi wetu hawana huruma kwa wale walio wachaguwa kuongoza nchi yetu je kweli tutakuwa na maendeleo ya ukweli? Itabaki

hadithi tupu tuamkeni tuchague Viongozi wenye kuipenda nchi yetu na viongozi wenye kupenda Maendeleo ya walala hoi tuache

tofauti zetu za Udini.
 
Kama kuna fursa kama udaivyo wewe, CCM na serikali yake imeshindwa nini Kuifanya Dar iwe kama New York au L.A?CCM na serikali yake imeshindwa nini kupunguza vifo vya kinamama na watoto under 5,CCM na serkali yake imeshindwa nini kuwapatia watoto wote madawati na vitabu.Mpaka sasa 85% ya nchi haina umeme?Leo hii kila masika ikianza Dar na miji mingine TZ ni vipindupindu tu-halafu bila aibu unaifananisha Marekani na Tanzania!Fursa zilizopo Marekani hazijaja tu kwa kuota....zimetengenezwa na sera nzuri NA USIMAMIZI MADHUBUTI wa za serikali husika.Ulishasikia Wamarekani wanacheka na wansiasa/viongozi wazembe wasio na maadili na wala rushwa kama wafanyavyo ccm?Unakumbuka Bill Clinton alivyotiwa aibu ktk ishu yake ya umalaya na Monica Lewinski?Hapa bongo ni mara ngapi watu wamewapa wachumba zao ukuu wa wilaya,?Huko BOT ndo usiseme...its like a list of "Who is who" ya bongo politics!Wananchi wakianzisha vimigodi vyao ninyi mnavamia na kuwapa "wawekezaji"...nchi ambayo 48% ya bajeti yake inategemea wahisani..alafu eti unakuja kuongea about fursa....FURSA my foot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…