Kwa nini bongo celebrities wengi hua hawaolewi ??

Kwa nini bongo celebrities wengi hua hawaolewi ??

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu,

Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua Bongo celebrities wengi hawaolewi.Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa.
Jaribu kucheki wada warembo wote,waigiza filamu,wanasiasa machachari, wanamziki .
Wengi wao hawaolewi.Hi ni furaha kwao?
Je,hii ni kua wanapenda wao wenyewe au na wao wanajuta kua "Bongo celebrity ??''
 
wanafikiri umaarufu wao ndio kila kitu, ila wanapokuja kushtuka it is too late
 
Back
Top Bottom