Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Benk nyingi sijawahi ona vyoo vya wateja.shida ni nini.mbona taasisi nyingine huduma ya wash room ipo available muda wote?
Unataka mijegeja yenu mkaikokie chooni??Benk nyingi sijawahi ona vyoo vya wateja.shida ni nini.mbona taasisi nyingine huduma ya wash room ipo available muda wote?
Bank ni kwa ajili ya kuweka na kutoa pesa sio kuweka na kutoa kimba.Benk nyingi sijawahi ona vyoo vya wateja.shida ni nini.mbona taasisi nyingine huduma ya wash room ipo available muda wote?