Kwa nini Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Arusha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Otorong'ong'o, Oct 17, 2011.

 1. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wadau wa jf? nimekuwa nikijiuliza siku zote why arusha? arusha ndo mji unaojulikana kama tha CAPITAL SAFARI CITY OF EAST AFRICA, THE GENIVA OF AFRICA, na pia ndo mji wa KITALII TANZANIA. pia ndo mji wenye agencies nyingi za kimataifa moja wapo ni ICTR, mahakama inayoshughulikia haki za binadamu ndo makao makuu hapa arusha.Napia tumeshuhudia mikutano mingi ya kimataifa ikifanyikia Arusha. Kwa maana nyingine Arusha ni kama kioo kwa taifa, Lakini cha kushangaza ni kwamba hili jiji halina bara bara. si bara bara za ndani ya jiji wala si bara bara za nje. Miundo mbinu ni mibovu sijapata kuona, vumbi kila mahali. Arusha kuna msongamano mkubwa wa magari lakini ni kama serikali hailioni hili halafu tunauita ati ni mji wa kitalii? Au ndo magamba wameamua kutukomoa kwa kumcgagua mbunge Lema, au ndo wanatukomoa kwa kuichagua CDM kama chama tawala Arusha? hii sarikali inaboa kweli jamani>
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo la msongamano c Arusha tu, miji yote tz hapa inakua kwa ongezeko la watu na shughuli za kiuchumi, ajabu wahusika/watu wa mipango miji wamelala tu wanasubiri kupiga deal la kuuza viwanja badala ya kuibua/kubuni namna mbadala za kukabiliana na foleni
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni jukum la wabunge kuhoji matumizi na mapato ya halmashauri pia kuiomba na kuishawishi serkali kusaidia ujenzi wa barabara then waulizen akina lema wanampango gani?
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na bado.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  na bado nini wewe gamba?arusha imekaa mikononi mwa magamba miaka hamsini hawajafanya chochote zaidi ya kuwaachia wananchi wa arusha ndio wawe mipango miji kwa kujipimia viwanja kwa kuuziana barabara,umeme na maji.
  sasa wana arusha wanakuambia NGASHTUKA hawawataki tena magamba na kama walivyowakataa wakoloni ndivyo walivyowakataa magamba.
  arusha imekosa vitu vingi chini ya utawala wa ccm na haswa kipindi cha kikwete ila sasa ndio utajua kwa nini arusha ilipata uhuru kabala ya tanganyika na ikawa kichocheo cha kuikomboa tanganyika,na sasa aeusha itafanya hivyohivyo kwa tanzania.
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Uchafu na uchakavu Arusha haukuanza mwaka jana. Kwa hiyo lawama iko kwa wana-Arusha wenyewe na siyo serikali. Tatizo kubwa ni ufisadi na ubinafsi wa kupindukia wa wakazi wa Arusha. Kuna utajiri mkubwa unaoonekana kwa watu binafsi lakini si kwa jamii. Uamuzi uko mikononi mwa wana-Arusha wenyewe. Mageuzi au Maumivu. Kazi ni kwenu.
   
 7. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Arusha iliharibiwa na Madiwani karibu miaka thelathini liyopita. Madiwani walishindwa kabisa kuwasimamia watendaji na wataalam wa manispaa. Hata huyo meya wa sasa alikuwa diwani miaka mitano iliyopita na naibu meya kwa mwaka mmoja, yeye na Madiwani wenzake walishindwa wajibu wao na hata sasa hatakuwa na jipya. Hali ya Arusha itabadilika tu pale meya atachaguliwa na wananchi na sio na Madiwani wenye njaa ambao huhongwa na DIWANI anaetaka kuwa meya.
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kwenye hizo RED pia mkuu ungeongezea kua ndio mji utakao kuwa wa kwanza kwa mapinduzi ya mageuzi ya maendeleo nchini yatakayoletwa na chama cha CHADEMA!
   
Loading...