Kwa nini 40? Nipeni jibu

40 ni kipindi kichungu.....kwasababu unafananishwa na mti wa muarobaini
 
Ili ugombee urais wa Tanzania pamoja sifa nyengine lazima ume na miaka 40
 

wataalam wa mahesabu wamethibitisha ya kwamba 20 * 2 = 40
 

mtoto anafanya mabadiliko tumboni in every 40 days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…