Kutokana na hali ya mvurugano na kuishiwa hoja kwa CCM na vyama CUF na NCCR kwa sasa chama kilicho na mwelekeo ni CHADEMA na ndicho kinachopendwa na WTz waliowengi na hasa vijana. CCM imebakiwa na vijana wale ambao baba zao ama wanafaidika na mfumo wa CCM au ni viongozi wa CCM kama akina H. Mwinyi, Riz1,J. Makamba, Fred L,Nape n.k.
Kwa hali hii CCM inajua kuwa mchawi wake ni CHADEMA hivyo inatafuta mbinu za kuingiza migogoro ndani ya CHADEMA na hasa kwa kutumia maajenti wao waliopandikizwa ndani ya uongozi wa CHADEMA kupika migogoro.
Sasa ni muhimu wakalijua hili mapema na kujiandaa kutegua mitego kama walivyowahi kufanya huko nyuma, kwani lengo ni kuhakikisha wanaingiza migogoro ndani ya CDM kabla 2014 ili kukivuruga na kukivunja nguvu.