Wewe hufahamu kuwa ufisadi ndio namba one ya kuuwa uchumi kwenye nchi nyingi za Africa? Ona Botswana ambapo ufisadi ni wa kunusa; wanavyoendelea; Angola wamepigana miaka yote hiyo; lakini sasa hatuwafikii hata kidogo. Yamkini wewe ni mteja wao ndio maana unaona vibaya mtu anayeshupalia ufisadi. PoleHuyu mzee hana sera ingine zaidi ya ufisadi? analia sana.....aseme mengine...hawa ni watuhumiwa sio mafisadi.....tumechoshwa na sera zake za ufisadi ufisadi....
Mkuu Mikela, mimi ni mtetezi mkubwa wa EL ila hii move kwenye NEC, nina wasiwasi na JK, he might be playing the Greeks way!. " I Fear the Greeks, especially when they bring gifts!".Kikwete kamtengenezea njia Lowassa awe rais 2015 na Chenge awe waziri mkuu
Mkuu Mzito Kabwela, huu ndio ukweli mchungu!. CCM ni Mbuyu kongwe, japo unaoza from inside huku ukichipua matawi mapya outside!. Kuna nondo nimeinasa mahali, 2015 ni CCM tena!.Mimi nadhan Slaa amesukumwa na mihemko ya kisiasa tu. CCM na ujambazi , uhuni, ubakaji, udhulumaji na uchafu wao, bado ni MBUYU mzito kuukata. Huo ndio ukweli
Kwa mnaodhania CCM itakufa natural death kwa ufisadi, bi sawa na fisi anayemfuatilia binadamu akijiaminisha mikono imelegea na karibu itaanguka!.siyo huyo mzee tu ata mimi nauchukia ufisadi kuliko kitu chochote dunia. kwahiyo anachofanya huyo mzee hakosei, ni watanzania wengi sana tunalia kila siku kuhusu ufisadi na hicho ndiyo pekee kitakacho iuwa CCM. wakiiba kura kama kawaida yao tuna wapiga mawe kama vibaka. tumeisha wachoka sana
pipooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!!!!!.kazeni buti 2015 watakiona cha moto
pipooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!!!!!.kazeni buti 2015 watakiona cha moto
Gamba at work!... Kazana uongezewe posho a Lumumba!