KWA NDUGU WATUMISHI/WALIOAJIRIWA

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,635
4,160
Vipi mshahara wa mwezi Februari?

Huko kwenye akaunti bado hawajafanya mambo huko wakuu?

Maana'ke hali sio hali kabisa,
Na kuna ndugu namdai,
Sasa huyo ikipita siku 1 tu tangu apate mshahara-
Nd'o basi hadi mwezi ujao!

So tujuzane kama tayari ili nianze kumlia RADA kabisa.
 
Huko kwenu tayari ni mwisho wa mwezi?
Huku kwetu leo ni tarehe 18
 
Back
Top Bottom