Kwa ndani, CCM tunamchukia sana Mwamposa

Kwa ndani, CCM tunamchukia sana Mwamposa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular.

Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane.

Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza kiwanja kidogo cha mpira Bujora Kisesa na hata uwanja mdogo wa Nyamagana.

Lakini Mwamposa akija Nanenane anaweka mabango matano mjini halafu watu wanatoka Shy town, Simiyu, Mara nk.

Katika nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kujaza uwanja mkubwa kama Nanenane basi awe rais.
Mchungaji mmoja kujaza uwanja na kumfunika rais sisi CCM tunauchukulia kama utovu wa maadili.

Mwamposa jitahidi kupunguza watu au tupe na sisi CCM siri ya urembo.
 
Back
Top Bottom