Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,966
Hapo sikubaliani na wewe hata kidogo! Kwangu kumtunza mzazi/wazazi ni wajibu na wala si suala la utu tu.
Ndio wale sasa ukizeeka unaanza kuwasumbua watoto wako. Hivi hebu kaa na utafakari.
Hapo sikubaliani na wewe hata kidogo! Kwangu kumtunza mzazi/wazazi ni wajibu na wala si suala la utu tu.
Umeweka maandiko ya kwenye biblia kumbe husomi biblia!?
Ni wapi kwenye maandiko ya biblia imeandikwa wewe unawajibu kwa mzazi wako?
Sikumbuki ni wapi kwenye biblia inaeleza Mzazi hunza akiba kwa ajili ya watoto wa mtoto wake na sio mtoto kuwajibika kwa mzazi.
Soma maandiko uyajue.
Ndio maana wengi wamepotoka hawataki kulifuata neno la Mungu na wala hawalisomi.
When we honor and care for our parents, we are serving God as well. The Bible says, "The church should care for any widow who has no one else to care for her. But if she has children or grandchildren, their first responsibility is to show godliness at home and repay their parents by taking care of them. This is something that pleases God very much....But those who won't care for their own relatives, especially those living in the same household, have denied what we believe. Such people are worse than unbelievers" (1 Timothy 5:3-4, 8 na MArko 7:10 - 14).
We should never allow the cares of the world to overshadow the things that are most important-serving God through serving people, especially the people in our own families. The Bible says, "Honor your father and mother"-which is the first commandment with a promise-"that it may go well with you and that you may enjoy long life on the earth" (Ephesians 6:2-3).
Kwanza kabisa naomba uandike kwa kiswahili maana kingereza huwakinanipinga chenga ili nielewe baada ya hapo nitakupa maandiko mazuri ukayasome na Roho wa bwana akuongoze. Sawa!?
Ndio wale sasa ukizeeka unaanza kuwasumbua watoto wako. Hivi hebu kaa na utafakari.
1 Timotheo 5:3 - 4
3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli.
4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe, na kuwalipa wazazi wao. Kwa kuwa hili lakubalika mbele za Mungu.
Soma na Waefeso 6:2 -3 ndo ujue wajibu wako kwa mzazi hauishi pale unapooa/kuolewa!!!!
1 Timotheo 5:3 - 4
3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli.
4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe, na kuwalipa wazazi wao. Kwa kuwa hili lakubalika mbele za Mungu.
Soma na Waefeso 6:2 -3 ndo ujue wajibu wako kwa mzazi hauishi pale unapooa/kuolewa!!!!
Ndugu yangu mtazamo wako wa kuyasoma maandiko sijui ukoje.
Kunasehemu imeandikwa mtu atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe.
Pia subiri nifike home nikutumie maandiko ya Paul alivyokuwa anawaonya wakoritho kuhusu kuweka akiba kwaajiri ya watoto wa watoto wake.
Mzazi wangu nitamtunza kwa mantiki ya Utu na sio haki yake.
Hapana huyu yuko serious kabisaa na anaamini anachokisema. Ngoja tusubiri atume hayo maandiko ya Paul tumsome.
Ndo huyo hapo annaniel!
proverbs 13:22
2 corinthians 12:14
proverbs 19:14
genesis 24:35-36
genesis 31:14-15
ezekiel 34:2
soma hayo maandiko na utafakari
katika hili swala hapa ndipo wanaume wengi sana hukosea kweli kweli ,watengenezeeni mazingira wake zenu hata ukiwa haupo waweze kulea familia especialy kusomesha watoto na mambo mengine nimeshuhudia baba mmja kafariki tajiri sana jirani yangu mke alikuwa na kila kitu ndani ila hana hata sent kumi yakuanzia mpaka afuate process yakuanza kutoa hela kwenye akaunt za marehemu hii ni mbaya sana sana wacheni wauze hata vitumbua !!!!!!!!!!wapendwa hope wote ni wazima wa afya,nilisoma thread moja inayosema matarajio ya mzazi anaposomesha mtoto mletaji mada alikua akilalamika mama yake anataka hela nyingi hata kwa vitu visivyo vya muhimu kama kuchangia harusi ua jirani kisa anacheka naye vizuri ambayo stimes ni sawa pia ,swali langu linakuja je vip kwa mzazi utajisikiaje umemsomesha mwanao tena kwa kujinyima halafu leo anatokea mwanaume anamuoa binti yako hataki afanye kazi akae tu nyumbani amfulie na kumpikia na hata hela hela ya kununua sukari huipati je ni sawa kwa ule msemo mtu atamuacha wazazi na kuambatana na mume kwamba hahusiki na maisha ya wazazi au wadogo zake nawasilisha karibuni tujadili
Anaekubali kuacha kazi ni MJINGA tena sana.Mfano, mme akitangulia mbele ya haki, ndiyo mtu aanze kujipanga??Hata mwanamme anaeshauri mke wake kuacha kazi hafai kabisaaaa!!!
Its real hyo ndo itakua dawa yakehuyu bahili kila siku unamzushia jambo jipya linalotaka hela hadi akerekwe aamue kukuachia ufanye kazi
mtu mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano upumbavu wake haumtoki