Heshima mbele wanajamvi !!
moja kwa moja naenda kwenye hoja.Kuna jamaa yangu ana SONY EXPERIA T katumia kama miezi miwili anataka kuniuzia
kwa 500,000/=
Kwa mwenye uzoefu naomba kujuzwa hii simu dukani ni sh ngapi ?
Ili kama sio aghali sana niingie tu shop!!
Nomba kuwasilisha.