Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,239
Wakuu !
Nina mjoma wangu umri ni around 40s alikuwa anafanya kazi kama dereva kwenye shule flan hv maarufu hapa mjini dsm akiwa anaendesha staff bus,ila bahati mbaya mwaka huu mwenye shule ameyumba kdgo so akapunguza sana wafanyakazi na yy ni mmoja wapo wa waliopunguzwa!
Anauzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye udereva
Leseni yake ni class C -plane
Kwa sasa amebaki kama dayworker kwnye madaladala
Anahitaji kazi yoyote ya udereva iwe ni kumuendesha mtu,daladala au staff bus n.k
Kwa mawasiliano unaweza kumcheki kwa namba za simu 0788614351 au 0658748351
Yupo dar es salaam na yupo tayari kufanya kazi kokote.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app