Utamshari vipi mtu Fulani mwenye mapenzi na course mbili kati ya hizi achague moja wapo ambayo itakuja kumsaidia kwa baadae.Civil & Electrical Engineering.
kuna post ya miongozo ya kozi ya za Engineering Tafuta kwangu mimi Civil hata miaka 50 ijayo nchi hii hawa watu watapeta tu. Kama dar hata fly overs bado Ghorofa ndefu ni 32 tu. Highway za hata lanes 4 na hata tulizonazo hazifiki 1000km. hizo zote ni kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.