Hii rangi naichukia sana!!Habari zenu wana jf.Natafuta T-shirt za rangi ya njano,zaidi ya 30,zenye kora/ukosi kwa bei ya jumla,zisiwe na maandshi,picha wala michoro yoyote.Kwa mwenye nazo ani pm.
Hii rangi naichukia sana!!
Habari zenu wana jf.Natafuta T-shirt za rangi ya njano,zaidi ya 30,zenye kora/ukosi kwa bei ya jumla,zisiwe na maandshi,picha wala michoro yoyote.Kwa mwenye nazo ani pm.
Ndio mkuu.na kwa wengne waelewe hiv!ikiwa na kola ni Polo -shirt au form 6?? Je ndiyo mahitaji yako??