Kwa mwenendo huu polisi watatuharibia nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwenendo huu polisi watatuharibia nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by segwanga, Nov 12, 2011.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jeshi la polisi limejidhihilisha kuwa hawako kuwalinda raia bali kuwanyanyasa raia.Kwa kuwa njia halali za kuwafikishia ujumbe kuwa wanachokifanya hakikubaliki zimeshindikana,mi naona wanataka tutumie njia zetu binafsi kuwadhibiti.Njia ninayo iona inanukia ni ile ya kujitoa mhanga ambayo wapalestina wameitumia na bado wanaitumia kuwadhibiti wazayuni.Naomba wanajamvi muongezee mbinu nyingine mbadala
   
 2. m

  mdudu.duduz Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna kujitoa mhanga polisi wana hasila na njaa yao kali;nikuwaombea tu hawajui wanayemtumikia.mambo ovyo ,akili ovyo ,elimu ovyo,hao ndio polisi mpaka mashuka wanayolalia ni ya rushwa.
   
Loading...