Kwa mwenendo huu polisi watatuharibia nchi

Kwa mwenendo huu polisi watatuharibia nchi

segwanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
2,788
Reaction score
731
Jeshi la polisi limejidhihilisha kuwa hawako kuwalinda raia bali kuwanyanyasa raia.Kwa kuwa njia halali za kuwafikishia ujumbe kuwa wanachokifanya hakikubaliki zimeshindikana,mi naona wanataka tutumie njia zetu binafsi kuwadhibiti.Njia ninayo iona inanukia ni ile ya kujitoa mhanga ambayo wapalestina wameitumia na bado wanaitumia kuwadhibiti wazayuni.Naomba wanajamvi muongezee mbinu nyingine mbadala
 
Hamna kujitoa mhanga polisi wana hasila na njaa yao kali;nikuwaombea tu hawajui wanayemtumikia.mambo ovyo ,akili ovyo ,elimu ovyo,hao ndio polisi mpaka mashuka wanayolalia ni ya rushwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom