Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

Mkuu hapa wengi hawatakuelewa,nilipata a girl alikuwa na the same feelings aisee,tulhangaika mahospitali na makanisani,hakuna kitu..

Kuna ishu inaitwa low libido,tatizo walilosema hospital..na kanisani walisema mapepo
Hahaha so uliamini wapi kanisani au Hospitali. M nahisi huyu mwanamke mwenye low libido ananifaa sana, sidhani kama wanachepuka hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh noma sana unaweza mchukia bure kumbe siyo makosa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha so uliamini wapi kanisani au Hospitali. M nahisi huyu mwanamke mwenye low libido ananifaa sana, sidhani kama wanachepuka hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchepuka ni ngumu sana,anakuwa hana ham na sex kabisa yani,ila anakuwa anatia huruma sanaa...anajiona wa tofauti kabisa
 
Damu zenu hazina usumaku,humvutii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemjibu vizuri, tena kwa kukazia hapo kwenye vidonge vya uzazi wa mpango kuna ambao huacha hzo dawa kwa sababu wanasema wakiwa faragha kwenye tendo la jimai hapat hisia zozote hvo kupelekea kuonekana kama anasubir tu jamaa amalize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.


Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa ila bahati walengwa hatambui kuwa ni tatizo nampa hongera zake shemeji .... kwani natumaini kukubali kuwa tatizo lipo ni mwanzo wa kupata tiba/ufumbuzi

Hili tatizo limegawanyika katika makundi mawili

>>>> 1) KISAKOLOJIA
Ambapo ni wachache sana wanaangukia hapa kwasababu wanamawazo ya kuumizwa au kuudhiwa na wapenzi wao ...

>>>>2) TATIZO LA KIMFUMO.
Ambapo hapa huwa ni tatizo linalochangiwa na vitu vyote ambavyo havihusiani na kisakolojia... kuanzia madawa, mitindo ya maisha na n.k..

FIKRA POTOFU:-
Wanawake wengi hudhani kuwa hakuna tatizo la wanawake kupungukiwa nguvu za kike hivyo wakiwa na tatizo hili huanza kuwaza kuwa sababu zisizo husiana pamoja na iliyo maharufu zaid kwa sasa ya kale kamboga KIBAMIA... Ingawa kiuhalisia hata maumbile yaweje hawezi kupata raha au msisimko anautegemea kama anatatizo analo.

SULUHISHO
>>>Swala la mapenzi ni sanaa pana sanaa...kikubwa ni mtu akawa muawazi kwa mwenzake na mkatafuta ufumbuzi pamoja ili kufaidi starehe hii ya thamani.
 
Asante sana mkuu
 
Iv mnapo sema tendo la ndoa alafu hamjafunga ndoa bac hamstahili kuita ilo tendo kuwa ninla ndoa balinmtakuwanmnazini yaan ss kamanunazininna demu wqko au mchumba wako
 
Yeah pia utakuta game za nje unainjoy zaidi kuliko game za kupiga ukiwa na mpenzi wako! Tabu kweli kweli...But anyways ni incompatibility issues, jambo naloweza kukusaidia ni ufanye mpango wa kumtafutia dawa ya kubalance hormones zake. Sometimes hili janga husababishwa na hormonal imbalanace.
 
umshauri umepokelewa mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…