Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

Min 92

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
431
1,000
Inawezekana akawa hana Feelings na ww, (usimtetee coz moyo wa mtu Kichaka), au huenda ana Stress, au labda aliwahi kuumizwa na kudanganywa in her Past Relationship/s na mwanaume aliemuamini sana,
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Inawezekana akawa hana Feelings na ww, (usimtetee coz moyo wa mtu Kichaka), au huenda ana Stress, au labda aliwahi kuumizwa na kudanganywa in her Past Relationship/s na mwanaume aliemuamini sana,
Huamini kama kuna ugonjwa wa hivyo? kutokua na hamu.kutokusikia raha?
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,514
2,000
Mkuu hapa wengi hawatakuelewa,nilipata a girl alikuwa na the same feelings aisee,tulhangaika mahospitali na makanisani,hakuna kitu..

Kuna ishu inaitwa low libido,tatizo walilosema hospital..na kanisani walisema mapepo
Low Sex Drive (LSD) ni character ya baadhi ya wanawake na wanaume pia. Mwenza anakuwa hana hamu ya kusex mara kwa mara so unajikuta kama unakiu inapelekea kubaka tu au kupewa tunda kama wajibu ukojoe zako ulale! Yani unakuta siku ambayo mpenzi ana mood ni ile siku ya ovulation tu ndio utapewa ushirikiano wote. Siku zingine ni "GOGO" mode!

Inatesa sana kama mpenzi ulioko nae ana Low Sex Drive ikiwa wewe ni kinyume chake yani High Sex Drive yani unahamu ya kupiga mashine mara kwa mara. Mkikutana wa LSD na HSD uhusiano huwa wa mateso sana.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
25,685
2,000
Mie nikuambie ukweli..akufukuzaye hakuambii toka!hujawajua vzr wanawake ww...huyo kuna sehem ndo anaenjoy zaidi...
alafu mkumbuke sie wanawake hatunaga hamu sana km nyie...ingawa wengine wanapenda dyudyu daily
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Mie nikuambie ukweli..akufukuzaye hakuambii toka!hujawajua vzr wanawake ww...huyo kuna sehem ndo anaenjoy zaidi...
alafu mkumbuke sie wanawake hatunaga hamu sana km nyie...ingawa wengine wanapenda dyudyu daily
Mkuu Manengelo,,koment za namna hii zimukua nyingi sana,kuwa simtoshelezi,hanipendi,kanichoka,namfokea,ana,mtu mwingine,nimejizuia sana kuelezea juu ya maoni ya namna hii lakini naona watu wengi wanawez amini kuwa ni kweli ana shida binafsi hizo na mimi,kuna sehemu nilisema kuwa hili jukwaa sio MMU kua ni sehemu ya kujipigia promo,bali hii ni JF Dokta,lakini sasa naomba nifafanue ingawa wapo watasema najipigia promo,ukweli ni kwamba,huyu mdada ananihitaji kuliko ninavyo muhitaji,nampa furaha ambayo hajawahi kupewa mahala pengine popote,kama ni mapenzi na upendo mimi ni mtaalam,na kwa bahati nzuri hakuna rafiki wa kike hajawahi kunisifia kwa upendo na mapenzi,huyu mdada ni mmoja wa wasifiaji wangu.Hebu fikiria mtu anakuambia nakupa penzi kwa sababu nisipokupa utaniacha,lakini mimi kusema kweli sisikiagi raha kabisa ,kama unaweza nisaidie kupata matibabu,anasema yeye.halafu unaona tofauti kabisa ukiwa una duu na weingine wanavyoonekana kuenjoy vitendo vyangu,uke du nae haoneshi msisimko wowowte lakini ukimpotezea wiki moja tu bila kumtafuta anakonda na kukonda,analalamika kuwa simtaki,simpendi
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Lastly ni ana low libido (hamu ya tendo) ... Haina dawa labda kwa wataalamu ataongezewa hormones za kike, ila kuongeewa hormones ambazo mwili kwa muda mrefu mwili haukuzizoea itakuwa na madhara kama wachezaji wanaotumia dawa za kuongeza ngevu. Si salama . lakini ulianza naye ukaendeea naye , basi na Leo endelea naye tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mazuri haya ,nashukuru
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Low Sex Drive (LSD) ni character ya baadhi ya wanawake na wanaume pia. Mwenza anakuwa hana hamu ya kusex mara kwa mara so unajikuta kama unakiu inapelekea kubaka tu au kupewa tunda kama wajibu ukojoe zako ulale! Yani unakuta siku ambayo mpenzi ana mood ni ile siku ya ovulation tu ndio utapewa ushirikiano wote. Siku zingine ni "GOGO" mode!

Inatesa sana kama mpenzi ulioko nae ana Low Sex Drive ikiwa wewe ni kinyume chake yani High Sex Drive yani unahamu ya kupiga mashine mara kwa mara. Mkikutana wa LSD na HSD uhusiano huwa wa mateso sana.
Umeeleza vizuri sana ndg,nasikitika hali hii imenifanya niwe na tabia mbaya ya kuonja onja ili kuona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu,lakini kusema ukweli katika kuonja kwangu nimeonekana natoa huduma nzuri kuliko ninayopewa mimi na sifa zilizoambatana nsa shukurani.,sikupenda niyaseme haya sio lengo la mada hii.
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Ngoja nikupe idea kidogo..... Wakati yeye anakosa hamu au kutokupenda kufanya tendo na wewe jua yupo ambaye anahamu ya kufanya naye tendo.... Nimefikiri NEGATIVE sorry
Ukweli naujua mimi mwenyewe ndugu,hamna kitu kama hicho,nakuambia hivi huyu mdada ananipenda mimi kuliko mimi ninavyompenda yeyey,kama huamini basi tena.ila tatizo ni la kibaiolojia zaidi
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,451
2,000
Tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo Kwa wanawake ni kubwa sana hata mimi nimeli experience sana. Inakera kuona mkeo hana kabisa hamu ya tendo la ndoa. Ni tatizo Kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa sio mke tu hata mpenzi ama rafiki wa kike wako asiposikia raha wakati wa tendo hata wewe husikii,kwa sababu nyege,mihemko,na furaha anazozionesha wakati huo zinamsisimua mno mwanaume na kuongeza raha ya tendo
 
Top Bottom