Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
Wadau watiririke

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kabisa,kuna wanawake wanahitaji msaada kwa hili.Unakuta ulikua na mpenzi mmoja unafanya nae tendo la ndoa anakushukuru na kukusifu kuwa hakuwahi kupewa raha kama hizi unazompa,lakini unakutana na mwanamke mwingine anakuambia hasikii raha kabisa ya tendo la ndoa,na wala huwa hapati hamu kabisa ya kutaka kufanya tendo la ndoa
 
A

askarikambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Messages
217
Points
250
A

askarikambi

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2013
217 250
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.
Hisia. Feeling.
Kwa mtazamo wangu, utamu au raha ya tendo la ndoa imebebwa na hisia alizonazo mtu kwa yule anaye-do naye.
Kama una-do huku feeling zako ziko mbali, au zipo nusu-nusu, huweza kusikia utamu.
Wapo baadhi ya wanaume ambao husema wanainjoi sana kwa mchepuko kuliko kwa mkewe, tena kwa mkewe wakati mwingine uume hausimami kabisa, lakini ukweli ni kuwa, pale kwa mkewe haweki hisia zake zote wakati wa kusex kama afanyavyo kule kwa mchepuko.
Mkewe anamuona ni mke tu, bali mchepuko anamuona kama mtu wa kumpa utamu, so, lazima atainjoi kule zaidi.
Sasa huyo mwanamke wako, mwambie asiwaze kingine zaidi ya kile mnachofanya wakati ule.
Mwambie afuatilie vidole vyako vinakopita ktk mwili wake, sio afuatilie mende na panya zinazopita hapo chumbani kwenu!!
Kisha kama una tabia ya kukaa uchi kila wakati mnapokuwa pamoja, basi upunguze.
Anaweza akawa anatoa kasoro sehemu za mwili wako kwa kulinganisha na mwanaume mwingine aliyewahi kuwa nae au aliowaona kwenye luninga au kwingine!
Baada ya mchepuko wangu wa mwisho kuolewa(nami nikishiriki kama kaka yake), sasa nimerudisha hisia zangu zote kwa mke wangu, na ninainjoi sex kinoma, tchao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
Huko ndio tunaita kupungukiwa nguvu za kike, inabidi umtafutie dawa ili kuongeza nguvu za kike

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio umenipa ushauri mzuri kabisa,hili nitatizo aisee,wala sifanyi utani,kama ni utundu sikuja hapa kujitangaza ukweli najua sana tabia na hisisa za wanawake,ila hili nitatizo,ili nieleweke fikiria una wapenzi wawili na wote wanakupenda kiukweli kabisa lakini mmoja yeye anakuambia kabisa kuwa mimi mbona siiskiiagi kama wanavyoniambiaga wenzagu mimi nina nini?
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
Hisia. Feeling.
Kwa mtazamo wangu, utamu au raha ya tendo la ndoa imebebwa na hisia alizonazo mtu kwa yule anaye-do naye.
Kama una-do huku feeling zako ziko mbali, au zipo nusu-nusu, huweza kusikia utamu.
Wapo baadhi ya wanaume ambao husema wanainjoi sana kwa mchepuko kuliko kwa mkewe, tena kwa mkewe wakati mwingine uume hausimami kabisa, lakini ukweli ni kuwa, pale kwa mkewe haweki hisia zake zote wakati wa kusex kama afanyavyo kule kwa mchepuko.
Mkewe anamuona ni mke tu, bali mchepuko anamuona kama mtu wa kumpa utamu, so, lazima atainjoi kule zaidi.
Sasa huyo mwanamke wako, mwambie asiwaze kingine zaidi ya kile mnachofanya wakati ule.
Mwambie afuatilie vidole vyako vinakopita ktk mwili wake, sio afuatilie mende na panya zinazopita hapo chumbani kwenu!!
Kisha kama una tabia ya kukaa uchi kila wakati mnapokuwa pamoja, basi upunguze.
Anaweza akawa anatoa kasoro sehemu za mwili wako kwa kulinganisha na mwanaume mwingine aliyewahi kuwa nae au aliowaona kwenye luninga au kwingine!
Baada ya mchepuko wangu wa mwisho kuolewa(nami nikishiriki kama kaka yake), sasa nimerudisha hisia zangu zote kwa mke wangu, na ninainjoi sex kinoma, tchao!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeeleza vizuri sana,ila kwa kufupisha maneno ni kwamba mpenzi wangu hana tatizo la feelings kama unavyoeelza,tatizo hilo ni yeye huwa ananiambia kuwa anasikia kidogo sana raha ,na akisikia stori za wanawake wenzie tena waliooolewa jinsi ambavyo wanasema kuwa waume zao wasipowapa tendo la ndoa kwa wiki moja tu ndani hapakaliki sasa yeye huwa ananiuliza hivi yeye ana matatizo gani?,mkuu naomba niseme kwa kifupi tu nina experience tofauti kati yake na mwanamke mwingine,usiniulize kama ni mke wangu ama mchepuko wangu ila hali hiyo inamsumbua.naomba msada.
 
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
274
Points
500
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
274 500
Zipo sababu nyingi (,1) vidonge vya uzazi hata k.m. inakauka hana love liquid.(2) Kama size ya penis is relatively ndogo kuliko size ya k. yake hapati maximum mkuno hivyo hupoteza hamu na wewe.( 3)Kuzaa kunatanua size ya k. Kama hajafanya mazoezi ya kurudisha size ya zamani atakosa hisia maana hasikii kitu kikiingia,(4) tabia ya kumfokea bila sababu unampotezea hamu kwako na tendo hilo kwako halipendi ukiwa naye.Kazi nyingi na msongo wa Mawazo (stress) ni adui wa sex hata kwa me sio me peke yao. Ongezeni wajuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,803
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,803 2,000
mimi ni mwanaume mkuu nimeuliza kwa niaba ya mpenzi wangu
samahani kwanza, km ni mwanamume kakae na wanaume wenzako watakupa maarifa wanaokufahamu maana sisi huku hatujui historia yako na mkeo, kamtembeze Miji mingine yaani muhame kabisa hapo mtaani kwenu ili kumsahaulisha na macho ya waliomzoea au kuwakumbuka aliocheza nao Vyuoni
pitia Pharmacy wakupe dawa km Viagra au Kamagra (Seldifie) sina uhakika na jina mnywe wote utajarudisha majibu hapahapa
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
samahani kwanza, km ni mwanamume kakae na wanaume wenzako watakupa maarifa wanaokufahamu maana sisi huku hatujui historia yako na mkeo, kamtembeze Miji mingine yaani muhame kabisa hapo mtaani kwenu ili kumsahaulisha na macho ya waliomzoea au kuwakumbuka aliocheza nao Vyuoni
pitia Pharmacy wakupe dawa km Viagra au Kamagra (Seldifie) sina uhakika na jina mnywe wote utajarudisha majibu hapahapa
Sisi Waafrika ndio maana huwa tunatajwa kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ingawa mimi sikubali hili,nimesema mimi nimeuliza haya kwa niaba ya mpenzi wangu,wewe unaniambia ni mke wangu ,niwapi nimesema mke wangu?
pili nimesema natafuta suluhisho la mpenzi wangu wa kike kutokusikia raha wala hamu,wewe unaniambi nipewe dawa za kuongeza nguvu za kiume.Hunitendei haki,naomba ushauri wa Kidaktari mkuu
 
MERCIFUL

MERCIFUL

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
1,938
Points
2,000
MERCIFUL

MERCIFUL

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
1,938 2,000
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.
Pole zake sana Mkuu na pia pole kwako wewe.
Nashauri akamuone daktari ili apatiwe dawa zitakazoboresha hormones zake za kike
 
Mis powers

Mis powers

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
2,046
Points
2,000
Mis powers

Mis powers

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
2,046 2,000
Sisi Waafrika ndio maana huwa tunatajwa kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ingawa mimi sikubali hili,nimesema mimi nimeuliza haya kwa niaba ya mpenzi wangu,wewe unaniambia ni mke wangu ,niwapi nimesema mke wangu?
pili nimesema natafuta suluhisho la mpenzi wangu wa kike kutokusikia raha wala hamu,wewe unaniambi nipewe dawa za kuongeza nguvu za kiume.Hunitendei haki,naomba ushauri wa Kidaktari mkuu
Hamna tiba na kwasababu siyo mkeo pia unaweza kuchagua kumuacha
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,479
Points
2,000
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,479 2,000
Zipo sababu nyingi (,1) vidonge vya uzazi hata k.m. inakauka hana love liquid.(2) Kama size ya penis is relatively ndogo kuliko size ya k. yake hapati maximum mkuno hivyo hupoteza hamu na wewe.( 3)Kuzaa kunatanua size ya k. Kama hajafanya mazoezi ya kurudisha size ya zamani atakosa hisia maana hasikii kitu kikiingia,(4) tabia ya kumfokea bila sababu unampotezea hamu kwako na tendo hilo kwako halipendi ukiwa naye.Kazi nyingi na msongo wa Mawazo (stress) ni adui wa sex hata kwa me sio me peke yao. Ongezeni wajuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ni Shule
 
Asante mkuu hayo yote nayafahamu fika ,kwa kifupi Dushe yangu ni saizi yake kabisa,uke wake sio mkubwa ,simfokeagi,tatizi lake ni toka nimemfahamu siku ya kwanza.Hata hivyo nafahamu sana Utundu katika anga hizo,nia yangu sio
Mkuu hapa wengi hawatakuelewa,nilipata a girl alikuwa na the same feelings aisee,tulhangaika mahospitali na makanisani,hakuna kitu..

Kuna ishu inaitwa low libido,tatizo walilosema hospital..na kanisani walisema mapepo
Safi sana Mkuu,afadhari wewe umeelewa juu ya tatizo hilo ,ila watunwengi wanadhani ni utani,asante sana.
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,000
Points
2,000
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,000 2,000
Hamna tiba na kwasababu siyo mkeo pia unaweza kuchagua kumuacha
DU ! kama wewe ni dokta Wagonjwa wana hali mbaya sana,matatizo haya yanaweza kumpata hata ndugu yako,na kama hajaolewa hatoolewa ,kwa mujibu wa maelezo yako.
 
Forum statistics

Threads 1,326,067
Members 509,389
Posts 32,210,345
Top