Kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa ,na kutokusikia raha ya tendo la ndoa

Pole zake sana Mkuu na pia pole kwako wewe.
Nashauri akamuone daktari ili apatiwe dawa zitakazoboresha hormones zake za kike
Nauchukua ushauri,watu wengi ukiwaambia wanasema humuandai vizuri,mara usimkalipie,mara amekuzoea sana,mara ana mchepuko.Hivi haiwezekani msichana akakuomba umsaidie matibabu?au kutafuta solution ya shida yake?hata kama sio mkeo au mpenzi wako?Nasema tena asante sana.
 
Mkuu, labda amefikia mennopause mapema?
Tunaambiwa kuna umri mwanamke akifikisha yeye na hayo mambo yanakuwa vitu viwili tofauti...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye tabia ya kufokewa bila sababu za msingi..... Dahhh..... A very good observation.
 
Naomba kujua je huu ni ugonjwa kwa mwanamke kutokupenda kufanya tendo la ndoa? je pia ni ugonjwa kutokusikia raha ya tendo la ndoa kwa mwanamke?
kuna matibabu ya matatizo hayo?
Angalizo mimi ni me,kwa niaba ya mpenzi wangu nimeuliza haya.
Ngoja nikupe idea kidogo..... Wakati yeye anakosa hamu au kutokupenda kufanya tendo na wewe jua yupo ambaye anahamu ya kufanya naye tendo.... Nimefikiri NEGATIVE sorry
 
Lastly ni ana low libido (hamu ya tendo) ... Haina dawa labda kwa wataalamu ataongezewa hormones za kike, ila kuongeewa hormones ambazo mwili kwa muda mrefu mwili haukuzizoea itakuwa na madhara kama wachezaji wanaotumia dawa za kuongeza ngevu. Si salama . lakini ulianza naye ukaendeea naye , basi na Leo endelea naye tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namhurumia nimeamua kumsaidia,wenzie wanaenjoy balaa,unajua mtu unaona tofauti kabisa,mwanamke anaanza kusisismka kwa maneno tu,anaaza kufanya vitu ambavyo hata yeye havijui,mwanamke akiwa na nyege utamjua tu,ukianza kumshikashika sehemu muhimu anaweza kupiga bao kabisa kama sio kuchafua pichu yake,lkn yeye haoni chochote hadi yeye anajishitukia,anaomba nimsaidie kutafuta matibabu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…