Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake

TF, hata profesa Kakobe hakufikii! Lakini kwa nini hii kitu inanitia uchungu sana? Napata nguvu ya kusema if i could get those culprits

ah ha ha ha ha ha ha ameshampiku hata kakobe
Ungewafanyaje hapo kwenye blue mkuu?
 
Ahaaaa ahaaaa ahaaa kaka INTELIJENSIA yangu hata ya Jeshi la Polisi haioni ndani

Kaka, intelijensia yako hata ya Shimo . . . . oooh I mean ya Shimbo ina afadhali
Yaani mkuu kesi ya kwanza mahakama ya JF ni mimi na wewe
YAANI SIKUBALI AISEEEE
LAZIMA UHUKUMIWE
 
TF, hata profesa Kakobe hakufikii! Lakini kwa nini hii kitu inanitia uchungu sana? Napata nguvu ya kusema if i could get those culprits
Gurudumu niliposoma mkasa wa FORGIVE nilishindwa kwanza ku-comment chochote kile kwanza baada ya kusoma mkasa wake tena kwa mara ya pili nilijiuliza maswali mengi sana mtu unaweza kusema labda wewe dunia umeumbwa na mkosi au wewe maisha yako yamepangwa yawe hivyo au labda watu wanakuchezea lakini kama ukimtanguliza Mungu mbele na kuomba sana ni lazima atasikia kilio chako utateseka lakini mwisho wa siku Mungu anaona na anajua ni wakati gani akutoe katika hali uliyonayo.

Tunapitia katika njia mbali mbali na ngumu tunajifunza mambo mengi sana, mimi na wewe hatuwezi kujiweka kwenye hali kama ya FORGIVE sababu ni vigumu sana kujua anajisikiaje kwa sasa, kuna mtu aliishawahi kuniahadithia stori kama hii lakini yeye alikuwa tofauti kidogo kwake yeye alikuwa ni Baba yake mdogo ambaye alikuwa anamfanyia hayo mambo.
 
Kaka, intelijensia yako hata ya Shimo . . . . oooh I mean ya Shimbo ina afadhali
Yaani mkuu kesi ya kwanza mahakama ya JF ni mimi na wewe
YAANI SIKUBALI AISEEEE
LAZIMA UHUKUMIWE
"Wakawa wakipaza sauti zao asulubiwe asulubiwe" Lolz
 
Umesema kweli kaka, yani unaweza ukajiona una matatizo lkn ukikutana na la mwenzio unaona afadhali ya wewe!!

Kaka naomba kuuliza, hata mtu yoyote tu naomba anisaidie, kwani ukibakwa unaweza ukashindwa kuzaa?

Mshiki, kwa upande wangu kubakwa kama kubakwa hapana. Kinachomfanya ashindwe kupata uzazi ni haya mammbo ya fibroids aliyoyagundua baada ya kupata ujauzito na hatimaye mimba kutoka so katika kuyaondoa huwa kuna risk ya kuharibika kizazi or something like that. So haikutokana na kubakwa ni kama coincidence tu, kuongezea petroli kwenye moto
 
All we like sheep we have gone astray each of us turning our own separate way we have all sinned and fallen short of the glory of God, but the glory of God is what we desire to see and in his presence is where we long to be, Lord show us your mercy and grace, forgive our sin because we long to live in your presence.[/QUOTE]

Mkuu haya maneno mazito sana ya Nabii Isaya kwa kweli.....umenikumbusha Handel's Messiah....ubarikiwe mkuu

Kamata hii

Last edited by a moderator:
Gurudumu niliposoma mkasa wa FORGIVE nilishindwa kwanza ku-comment chochote kile kwanza baada ya kusoma mkasa wake tena kwa mara ya pili nilijiuliza maswali mengi sana mtu unaweza kusema labda wewe dunia umeumbwa na mkosi au wewe maisha yako yamepangwa yawe hivyo au labda watu wanakuchezea lakini kama ukimtanguliza Mungu mbele na kuomba sana ni lazima atasikia kilio chako utateseka lakini mwisho wa siku Mungu anaona na anajua ni wakati gani akutoe katika hali uliyonayo.

Tunapitia katika njia mbali mbali na ngumu tunajifunza mambo mengi sana, mimi na wewe hatuwezi kujiweka kwenye hali kama ya FORGIVE sababu ni vigumu sana kujua anajisikiaje kwa sasa, kuna mtu aliishawahi kuniahadithia stori kama hii lakini yeye alikuwa tofauti kidogo kwake yeye alikuwa ni Baba yake mdogo ambaye alikuwa anamfanyia hayo mambo.

Haya mambo kwa kweli yako mengi sana, na kwa bahati mbaya yanahifadhiwa na ndugu kwa kuogopa kuleta mfarakano lakini hawajiulizi ni kiasi gani aliyetendewa amedhurika. A lot is unreported, and therefore unaddressed.
 
Hivi hata mwanamke abakwe vp, huo ubakaji hauwezi ukasababisha apate madhara ya kusababisha aondolewe uwezo wa kuzaa ili apone?
 
All we like sheep we have gone astray each of us turning our own separate way we have all sinned and fallen short of the glory of God, but the glory of God is what we desire to see and in his presence is where we long to be, Lord show us your mercy and grace, forgive our sin because we long to live in your presence.

Mkuu haya maneno mazito sana ya Nabii Isaya kwa kweli.....umenikumbusha Handel's Messiah....ubarikiwe mkuu

Kamata hii

[/QUOTE]

The Following 2 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

CPU (Today), The Finest (Today)​

Aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Gurudumu niliposoma mkasa wa FORGIVE nilishindwa kwanza ku-comment chochote kile kwanza baada ya kusoma mkasa wake tena kwa mara ya pili nilijiuliza maswali mengi sana mtu unaweza kusema labda wewe dunia umeumbwa na mkosi au wewe maisha yako yamepangwa yawe hivyo au labda watu wanakuchezea lakini kama ukimtanguliza Mungu mbele na kuomba sana ni lazima atasikia kilio chako utateseka lakini mwisho wa siku Mungu anaona na anajua ni wakati gani akutoe katika hali uliyonayo.

Tunapitia katika njia mbali mbali na ngumu tunajifunza mambo mengi sana, mimi na wewe hatuwezi kujiweka kwenye hali kama ya FORGIVE sababu ni vigumu sana kujua anajisikiaje kwa sasa, kuna mtu aliishawahi kuniahadithia stori kama hii lakini yeye alikuwa tofauti kidogo kwake yeye alikuwa ni Baba yake mdogo ambaye alikuwa anamfanyia hayo mambo.

Kama mimi, kwanza sikuamini ilibidi ni-restart upya kinotibuku changu then niingie upya jamvini, ndo nikakuta thread ipo CLOSED TOPIC
 
Mkuu haya maneno mazito sana ya Nabii Isaya kwa kweli.....umenikumbusha Handel's Messiah....ubarikiwe mkuu

Kamata hii

The Following 2 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

CPU (Today), The Finest (Today)​

Aiseeee[/QUOTE]
Mkuu naomba usikilize huo wimbo zaidi ya mara mbili utaelewa vizuri ujumbe uliomo humo ndani, very touching song wenye ujumbe mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom