Kwa mwana ccm changia hapa.

Kwa mwana ccm changia hapa.

wewe innocent john si umechukua kadi ya chadema thn mbona unawachokonoa wana ccm
 
Hotuba yako ijikite kwa kutoa ahadi za vitendo, wawajibishwe wale wote wenye chembe chembe za ubadhilifu, Uhakikishe huduma zote zinakuwa chini, na si maneno tu. hata mashuleni ukitaka vijana waelewe unafundisha kwa vitendo.
 
CCM CCM CCM gani hii ya Nap, Nkap, JuaKali, Kinand au ipi kaka hii ni Cancer (malignant iliyosambaa mwili wote hakuna pa kuponya) tusubiri masaa yafike izikwe tu bahati mbaya hata ndugu zake wanajua kuwa yametimia
 
Sikio la kufa halisikii dawa!
Unataka ushauri gani ukashauri nini na nani umshauri?
Kiziwi asiye sikia ******?
Nyie hapa ni kifo cha kitanzi tu!
 
Ni kufuata katiba ya CCM.
The rest is bullshit!
 
Nashauri chama changu cha mapinduzi kiige mfano wa zambia.pia ushaur wa dk lwaitama, wa ccm kuandaa mazingira ya kukabidhi madaraka kwa chadema kwa amani,uzingatiwe.
 
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mheshimiwa hv ukimwaga maji ardhini unaweza kuyazoa?
 
Dawa pekee ni kurudisha azimio la arusha mana lilijali utu hasa wa mtanzania la cvyo ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Back
Top Bottom