Kwa mwana ccm changia hapa.

We mtoa mada tafuta kazi ya kufanya. Hakuna cha kuishauri ccm.
 
Mkuu wa kaya apige chini na dk. Slaa atawazwe uprezida mara1 kwakuwa matokeo ya 2010 yalipinduliwa.
 
Kuweni chama cha upinzani ili nanyi muikosoe serikali mi nafkiri ndio njia pekee ya kurudisha imani kwa wananchi.
 
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
nashukuru kwa kukubali kua mmepoteza imani kwa wanchi.
ukweli ni kua mimi/sisi amabao ndio hao wananch wala si/hatutamani tena kuwaamini.
Go to hell CCM.
 
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

kuongea kwanza then kufikiri huo ni ujinga...ningekuwa mimi nisingeleta hiyo mada..kama wewe u kijana nadhan kama si mshirikina ni mnafiki..
 
Mtarudisha imani kwa kukubali uamuzi wa wananchi kwamba wamewachoka na wanahtaji CHADEMA!
 
Tutarudisha imani kwa wananchi kwa kufanya yafuatayo:

1.Kwa kurudisha malizote na fedha zilizotwaliwa kifisadi na waliozitwa washitakiwe kwa mujibu wa sheria za nchi.

2.Kusimamia vizuri sheria na katiba ya nchi bila kukiuka sheria na katiba.mfano kula rushwa,wizi n.k.

3.Uzalendo kwa kuweka maslai ya taifa mbele.mfano.kuingia mikataba yenye maslai kwa taifa zaidi.

Bila hivyo tusubirie kuwa chama pinzani tena tutakua chama pinzani ambacho ni dhaifu,manake chama cha kwanza kinaweza kuwa CDM ikafuata CUF,TLP na CCM tukawa wa mwisho huku.
Nashukuru kwa mchango wako ndugu.
 
Damu za watanzania zilizomwagika kule Arusha mjini, Nyamongo ( ambako raia walio hai walifukiwa ktk mashimo) , Igunga mlikoua wakala wa CDM, Iringa mlikoua walipa kodi watano bila hatia zitawatafuna, Hakuna mwananchi anayehitaji suruhu na CCM, Kumbuka siku zenu zinahesabika, kabla ya wananchi hatujachukua maamuzi magumu.
 
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

KAMA KWELI CCM INAHITAJI KURUDISHA IMANI KWA WANANCHI YAFUATAYO YAZINGATIWE

1.KURUDISHA AZIMIO LA ARUSHA
2.VIONGOZI WA CCM KUTOTUMIA VYEO VYAO KWA FAIDA YAO BINAFSI NA FAMILIA ZAO
3.VIONGOZI WA CCM WAWE NI WASEMA KWELI NA FITINA IWE NI MWIKO KWAO
4.VIONGOZI WA CCM WATAMBUE KUWA RUSHWA NI ADUI WA HAKI,WASIPOKEE WALA KUTOA RUSHWA
5.VIONGOZI WA CCM WAJITOLEE KWA DHATI KUONDOSHA UMASIKINI,UJINGA,MAGONJWA NA DHULUMA(MAHAKAMA-ARUSHA=DHULUMA)

LAKINI NI RAHISI SANA KURUSHA KITU UKIWA JUU,ILA NI NGUMU SANA KURUSHA KITU UKIWA CHINI ILI KIENDE JUU
 
Si kawaida yangu kutoa hoja zenye kuonyesha hasira zangu ila kwahili nimeshindwa kujizuia,pia napenda kutanguliza kuomba msamaha kwakua naamini nitakua nimekukwaza sana bwana inno.NAOMBA USIWEUNAWEKA HOJA AMBAZO HAZINA MANTIKI.HASA ZAHAO WAJINGA WENZAKO.
 
Innocent J
Hongera.
1. Umeona mwenyewe baadhi ya majibu. Moja ya magumu ya kuongoza nchi hii sasa - ni perceptions za vijana. Wengi wanataka urahisi wa ki(.)com hivi, wanataka maisha kama ya sinema hivi - every thing lasts in just a little under 2 hrs, tena kwenye screen. Wanataka Super Heros
Kumbuka 1992 hadi leo 2012 ni umri wa mtu mzima, mtu mzima ambaye hakulazimika kukaa darasa lolote la itikadi (si ya ccm, cuf, ... Wala cdm). Itikadi sasa ni kupata tu. Usipopata basi laumu aliye nacho, usijiulize yeyekafanikiwaje! Huna muda huo!

2. Pia fahamu wastani wa umri wa Taifa hili unalifanya liwe ni la vijana. So, ukijitenga na vijana, kwa vyovyote vile, watakwenda kwa wanayedhani yuko nao.

3. CCM ikubali, ikakaribisha na hata kuratibu mageuzi nchini tangu hiyo 1992. Isipokuwa CCM yenyewe haikudhani inaguswa na hayo yote. Ikajisahau na zaidi, ikakaribisha wasiyojua ama kuamini katika itikadi yake. Upeo ukabadilishwa, mustakabali wa CCM pamoja nao, vyote vikatolew kwenye 'Comparative Advantage' na kufikishwa hapa tulipo, kwenye kulazimika kushindana. Unaweza ukasema sasa tatizo ni nini, situnashindana! Si ndiyo demokrasia? Nasema; huo ndiyo mtazamo wa wasiyoijua wala kuiamini Itikadi ya CCM.

4. Kufupisha mchango wangu kwako; kuna two major causes hapa ambazo siyo lazima ziwe zinaegemeana. Kila moja inaonekana imekuwa kwa mujibu wa historia yake. Sababu ya kwanza: kushindwa kusimamia itikadi ya ccm wakati huu wa mabadiliko. Sababu ya pili; kuwaacha MAS - Vijana. Hawa ndiyo sasa wataamua mwelekeo wa siasa ya ccm, itake isitake, na nchi pia. Wapi watatupeleka? Sijui, hasa kama bado tutakuwa watazamaji tu badala ya 'ku-manage' mabadiliko haya.

Asante
 
Back
Top Bottom