Kwa mwana ccm changia hapa.

Kwa mwana ccm changia hapa.

innocent j

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
58
Reaction score
9
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Hebu tuondolee thread za kijinga nenda kamuulize nape kwasababu alisema mta tawala milele kwavile mahakama ni zenu na tumeshaanza kuyaona
 
Tutarudisha imani kwa wananchi kwa kufanya yafuatayo:

1.Kwa kurudisha malizote na fedha zilizotwaliwa kifisadi na waliozitwa washitakiwe kwa mujibu wa sheria za nchi.

2.Kusimamia vizuri sheria na katiba ya nchi bila kukiuka sheria na katiba.mfano kula rushwa,wizi n.k.

3.Uzalendo kwa kuweka maslai ya taifa mbele.mfano.kuingia mikataba yenye maslai kwa taifa zaidi.

Bila hivyo tusubirie kuwa chama pinzani tena tutakua chama pinzani ambacho ni dhaifu,manake chama cha kwanza kinaweza kuwa CDM ikafuata CUF,TLP na CCM tukawa wa mwisho huku.
 
Ili kurudisha imani kwa wananchi achieni madaraka kwanza vitawale vyama vingine hapo imani itarudi
 
We will execute all fisadis!!we will make sure all government property retuned to the government!and we will make sure wear resambled as tanganyika.
 
CCM inalaana,inaelekea kufa na sikio la kufa halisikii dawa hata mfanye nn hamuwezi kuinusuru.
 
we mleta mada ni mjinga sana, huwa watu kama wewe ni vigumu sana kubadilika, coz ipo kama haujui nn tatizo la ccm, unataka watu wakwambie, mpaka hapo unaangukia kwenye kundi moja la watu wa hatari sana anayeitwa"hajui na hajui kama hajui" ni matumain yangu unafaidika sana ndani ya ccm na hujui faida hyo unaipata kwa gharama za wa kodi za walala hoi na raslimali ambazo zingewanufaisha wengi
 
hahaha!
Hajui na hajui kama hajui.
 
“Safari ya ukombozi ilianza zamani
wengine walikufa wengine walipoteza
viungo vyao lakini safari inaendelea,
msiogope ninyi mlio wengi, maana
mkiogopa mimi nitaogopa zaidi lakini
nawatia moyo msiogope kuweni jasiri
haki haiwezi kudhalilishwa,”
Lema.
 
kaombe ushauri sio hapa jamvini!! mnashika dola alafu hamna kitu kichwani
 
Tutarudisha imani kwa wananchi kwa kufanya yafuatayo:

1.Kwa kurudisha malizote na fedha zilizotwaliwa kifisadi na waliozitwa washitakiwe kwa mujibu wa sheria za nchi.

2.Kusimamia vizuri sheria na katiba ya nchi bila kukiuka sheria na katiba.mfano kula rushwa,wizi n.k.

3.Uzalendo kwa kuweka maslai ya taifa mbele.mfano.kuingia mikataba yenye maslai kwa taifa zaidi.

Bila hivyo tusubirie kuwa chama pinzani tena tutakua chama pinzani ambacho ni dhaifu,manake chama cha kwanza kinaweza kuwa CDM ikafuata CUF,TLP na CCM tukawa wa mwisho huku.

4.na muache uongoz wa kuachia kama uchif na ufalme
5.na mkubali kuachia madaraka
6.na mwisho waliotoa hukum arusha wajiuzuru
 
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz ushauri wako ni muhimu . No jokes here.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

CCM a.k.a SIKIO LA KUFA! Mna kazi ya ziada!
 
Back
Top Bottom