Kwa mvua hizi Mradi wa mwendokasi unafanya kazi kweli au.....

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Naona mvua zimekazana usiku kucha leo na hata sasa zinaendelea na hali ya hewa walitutangazia hilo mapema.

Sasa kwa wale tunaotumia mwendokasi vipi huduma inaendelea kutolewa ili tutoke kwa kazi za nje.

Hasa hasa pale Jangwani sijui panapitika au laa.
 
Mabasi ya mwendokasi yamesitisha utoaji wa huduma kutokana na kufungwa kwa barabara ya Morogoro baada ya maji kujaa eneo la Jangwani. Kwa sasa huduma zinatolewa kwa njia za Kimara - Morroco, Kimara - Magomeni Mapipa, na Gerezani - Muhimbili.
 
Back
Top Bottom