Jambo hili tunaliongea kila siku hapa jamvini. Kazi za ubunifu (design) na uchoraji haziji kutoka hewani , zinatokana na mawazo ambayo wataalam huyachambua ili kupata kinachotarajiwa...iko kama jengo la HOSPITALI.
..akija Raisi mwingine itabidi wajenge mpya.
Hiyo nyumba uliyochagua siyo Ikulu mzee, hilo ni jengo la ofisi fulani tu na wala halina uwanja unaeondana na majukumu ya Ikulu. Sijui wewe umeitoa wapi hiyo. Hata maafisa wa usalama hawawezi kukubali hiyo ndiyo iwe IkuluKwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo.
Je, Tanzania tunafeli wapi?
View attachment 1401003View attachment 1401005
Ebu angalia ikulu ya south Africa na ilijengwa kipindi Cha apartheid angalia ilivyokua nzuri
View attachment 1401031
30/5/2020 tumeondolewa mashaka. Ulichotuaminisha haikuwa Ikulu. Ikulu ndio kwanza inawekewa jiwe la msingi. Na imechukuliwa model ya Ikulu ya Magogoni. Kilichongezeka ni Underground basement na madhali ya Nembo ya TaifaKwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo
Je, Tanzania tunafeli wapi?
Ebu angalia ikulu ya south Africa na ilijengwa kipindi Cha apartheid angalia ilivyokua nzuri
Sasa kwanin wamecopy and paste, wangebuni ikulu nyingine, Ila ni nzuri kimuonekano30/5/2020 tumeondolewa mashaka. Ulichotuaminisha haikuwa Ikulu. Ikulu ndio kwanza inawekewa jiwe la msingi. Na imechukuliwa model ya Ikulu ya Magogoni. Kilichongezeka ni madhali ya Nembo ya Taifa.
View attachment 1463977
Tafuta risala ya JPM, Ameeleza kwa nini wamefanya hivyo.Sasa kwanin wamecopy and paste, wangebuni ikulu nyingine, Ila ni nzuri kimuonekano
Huyo ni MATAGA. Unafiki ndio unaomuongozA.Kiserikali mno ndiyo kukoje huko, kwanini usiseme tu kwamba Ikulu ya Dodoma ni mbaya ? Au unaogopa ?
Sasa tufanyeje yani unataka? Kweni Ikulu ni sehemu ya starehe? acha maneno ingia mtaani kafanye kazi kuokoa kizazi na umasikiniKwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo.
Je, Tanzania tunafeli wapi?
View attachment 1401003View attachment 1401005
Ebu angalia ikulu ya south Africa na ilijengwa kipindi Cha apartheid angalia ilivyokua nzuri
View attachment 1401031