Kwa muonekano wa nje, Ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko Ikulu ya Dodoma

Kwakua umesema ni kwa Muonekano wa Nje sawa,nakubali ila kwa Ndani ni habari nyingine kabisa
 
Kama nchi hatupo makini ndo maana hata raisi kafa kiajabu ajabu tu .
IMG_20210326_213856.jpg
 
Hapo mkandarasi anafurahi!! muendelee kufikiria hivo hivo!!!upupu!!
Badala yake Msifikirie alivo piga cha juu!! Upigaji no usifikiriwe!!

Anajua mkisema sema sana. anaweza itwa atoe mchakato wa ujenzi ulivo kuwa.na
mahali anapo ishi plus mijengo yake mingine.
Atapewa wkt mgumu.Kuhisiwa!!

Wabongo cha juu lazima hata huo mjengo utadidimia tu baada ya miaka kadhaa!! Km hotek ya keko!
 
Back
Top Bottom