Kwa mujibu wa rasimu ya ii ya katiba, tume huru ya uchaguzi itatumika uchaguzi wa 2020

kamakak

Member
Sep 22, 2010
60
70
katika sehemu ya sita, Masharti ya Mpito ya rasimu ya katiba, Inasema kutakuwa na muda wa mpito utakaoisha tarehe 31/12/2018.Katika muda huo kutafanyika maandalizi muhimu ya utekelezaji wa katiba mpya.

Na katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa kupokea Rasimu hiyo, Rais Kikwete alisema hakutakuwana serikali ya mpito.

Kwa mtazamo wangu, uchanguzi wa 2015 itatumika tume ya uchaguzi hii iliyopo sasa ambayo siyo huru hadi mwisho wa kipindi cha mpito.Wanasiasa poleni sana maana hili la tume huru mlipigania sana ipatikane kabla ya 2015.
 
kajansi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
485
0

Shida ya pilau ya bure! uwezo wako wa kubrainstorm umeishia hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom