Mr.Kipara Member Joined Oct 27, 2012 Posts 17 Reaction score 11 May 2, 2017 #1 Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia Attachments weather.jpg 104.1 KB · Views: 39 hewa.jpg 107.8 KB · Views: 44
Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,122 May 2, 2017 #2 Habari leo na daily news ni Magazeti ambayo huwa sinunui, labda niwe nasoma kwenye website yao
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,331 Reaction score 72,647 May 2, 2017 #3 sawa
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,270 Reaction score 12,692 May 2, 2017 #4 baada ya media binafsi kuwasusa wamekuja huku maana tv almost zote binafsi hazionyeshi utabiri!
JFK wabongo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 3,887 Reaction score 3,201 May 2, 2017 #5 N'yadikwa said: baada ya media binafsi kuwasusa wamekuja huku maana tv almost zote binafsi hazionyeshi utabiri! Click to expand... Wanachopatia ni upepo wa bahari tu! Kutakuwa na manyunyu, mvua za hapa na pale na vipindi vya jua kwa baadhi ya maeneo.
N'yadikwa said: baada ya media binafsi kuwasusa wamekuja huku maana tv almost zote binafsi hazionyeshi utabiri! Click to expand... Wanachopatia ni upepo wa bahari tu! Kutakuwa na manyunyu, mvua za hapa na pale na vipindi vya jua kwa baadhi ya maeneo.