Kwa muhenga anayekumbuka huu wimbo tafadhali

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Kuna ile Christmas Carol ikipigwa RTD zama zile mwenye kuwa nayo jamani.
Iyooo Christmas iyo iyoyoyo iyo!one,two three four!
Happy Christmas iyoooyoo
Happy new year iyoooyoo
 
Ok lakini kalikuwa kazuri sana,ya kale dhahabu.
Yeah....nakumbuka kalikuwa kanapigwa sana hasa mtangazaji akiwa anahoji watu mtaani na kutuma salamu zao za Christmas....
Ule wa sikukuu ya Idd unaukumbuka? Nimesahau ukivyokuwa unaanza but Kuna sehemu wanaimba.....mpenzi wangu ninakusalimia, kwaamapendo na furaha, mpenzi wangu ninakupa.....mkono wa idd.....aiyayaya ninakupa....mkono WA idd
 
Naukumbuka, Mpenzi wangu Minal faidhina*2.kwa mapenzi na furaha mpenzi wangu ninakupa,mkono wa idi.tupeane mkono wa idi. Na huku wali wa maana umepambiwa jikoni,mzee baba anaangusha moja moja na karedio kake ka mkulima. Duuh.raha za familia zimepotea kaka. Siku hizi kila mtu na simu yake anapangusa tu,mara acheke peke yake.namis sana maisha yale.
 
  • Thanks
Reactions: ram

We mhenga?
 
Mpenzi wangu ngei eeh njoo tufurahi ngoma iko huku mpenzi wangu mi nakupa mkono wa idd
 
Unatembea km10 kufuata shule, jioni unakanyaga 10 zingine kurudi home
 
Yeah....nakumbuka kalikuwa kanapigwa sana hasa mtangazaji akiwa anahoji watu mtaani na kutuma salamu zao za Christmas....
Ule wa sikukuu ya Idd unaukumbuka? Nimesahau ukivyokuwa unaanza but Kuna sehemu wanaimba.....mpenzi wangu ninakusalimia, kwaamapendo na furaha, mpenzi wangu ninakupa.....mkono wa idd.....aiyayaya ninakupa....mkono WA idd
Ram na wewe muhenga kwani?
 
Hakuna twisheni wala Google na unapasua pepa mpaka mwalimu anakushangaa!
Ahahahahahah hadi nimecheka kwa sauti
Hakuna homework wala nini, ukifika home, unakula then kwenda kuchota maji, unalala hoi kesho alfajiri unaamka ili uwahi namba saa moja kamili, haijalishi ni masika au kiangazi, mkononi umebeba kidumu cha maji, mfagio, Jembe n.k n.k.....uhenga raha bana
 
Back
Top Bottom