Kwa mtindo huu!!

Hivi mtu unajuaje kama mtu yuko 24/7 kama na wew hauko hivyo... Mim mbona hua niko muda wote sema tofauti ni kua si comment kila thread huwa nasoma tuu... So na mimi mtua anaweza sema sina kazi ya kufanya tena niko bize kama kawaida ila ni maamuzi tu ya kushare au kusoma tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…