Kwa Mtanzania yeyote aliyeko Namibia

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,628
Kama nilivyodokeza hapo juu. Baada ya Xmass kuisha nageuza kibaruani kwangu South lkn ratiba ya mwenyeji wangu ni kutembelea cousin wake aliyeko Namibia kwa ajili sherehe ya mwaka mpya. Napenda kama inawezekana kukutana na Watz walioko huko. Nimejaribu kumuuliza kama kuna Mtanzania yeyote anayemfahamu anadai hajawahi maisha yake yote kukutana na Mtanzania huko. Karibuni
 
Labda ufike ubalozi wa Tanzania uliopo Namibia hapo naiman utakutana naomb wengi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom