.......... PICHA #1: Aina ya usafiri wa Public, wapi mradi wa mabasi yaendayo kasi?
PICHA #2: Kulala ofisini, 80% ya Wabongo hutumia wastani wa masaa 2-4 ya kazi kuzalisha dhidi ya 8 yanayohitajika
PICHA #3: Wabongo wengi tunapenda sana starehe kupita kiasi kuliko kazi
PICHA #4: Usafiri wa treni sidhani kama upo wa uhakika?
Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe, fanya kazi kwa bidii uijenge nchi yako acha kulalama kwani mwisho wa viongozi wasio wazalendo na MAFISADI umekaribia....
Mishara midogo,hailipwi kwa wakati wakati huohuo wengine wanajiongezea posho za kulala na kupiga kelele za ndiyooo bungeni,unategemea nini kwa mrembo kama huyo?inabidi atafute njia mbadala ya kujipatia kipato!kujiuza!what do you expect wakati usiku hakulala?ni kusinzia ofisini!this is the Tanzania we want!RIP Tanzania,welcome ma lovely country Tanganyika!!maendeleo hayaji kama serikali haitawajali watu wake!!